Recent content by lebe

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi simba wana siri gani na waamuzi wa kike?

    Msimu huu tangu uanze club ya simba mechi zake zote 5 zimechezeshwa na waamuzi wa kike. Je kuna siri gani wadau
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kundi la Wagner amlaumu Waziri wa Ulinzi Kuwa Alimdanganya Rais Putin na Taifa Kuhusu Ukraine

    Nitakuwa wa mwisho kuamini, inawezekana yanafanyika mazoezi ya kuiteka kiev
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kupunguza idadi ya nchi inazozipa misaada. Kigezo cha Utawala bora na Haki za binadamu kupewa kipaumbele

    ' O: G ..f ' ⁶⅝4 , d. ,6m,ý Sent using Jamii Forums mobile app
  4. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza dau kwa atakayesaidia kupatikana kiongozi wa Boko Haram

    We una tatizo gani, ebu punguza kukurupuka Sent using Jamii Forums mobile app
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Lakini kumbuka yule ni mama yake, angekuwa mjukuu maneno yako yangekuwa ya maana sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Na wewe utavuna tu unachopanda kwa sasa, iwe jua au mvua utavuna tu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kabendera na vijana wenye tamaa za aina yake waache mara moja wanasababisha matatizo ya Familia zao waishi maisha halali wasifake maisha

    Kwa semi wako huo naona tayari umeshajiandaa na karma Sent using Jamii Forums mobile app
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli ni Rais wa miundombinu?

    Hiyo sector ndio anayoimudu vizuri ukizingatia amekuwa kwenye sector hiyo kwa muda mrefu akiwa waziri. Sector zingine mkasubiri Rais ajaye Sent using Jamii Forums mobile app
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

    Pande zote inabidi zifikirie hilo nadhani. Unadhani familia ya Bashir ipo katika hali gani sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae

    Mpumbavu zaidi n wewe usiekuwa na hujuma.Mbaya zaidi kesi ya kubambikiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Magufuli kwenda Chato , 9/12/2019 Kuadhimisha Mwanza

    Punguza stress na uandike kwa umakini zaidi, sio unaandika kama umepewa taraka
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Je, ni nini imekikumba Chama Cha Mapinduzi?

    Mkeo akisoma maandishi yako haya atakukimbia
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Je, ni nini imekikumba Chama Cha Mapinduzi?

    Umeeleza vyema sana
  14. L

    JamiiForums Tanzania Ushindi mtamu ni ushindani katika uwanja sawa, sio ule wa mezani. Magufuli, kasi yako ni ushindi wa kishindo. Ruhusu ushindani wa haki, sawa na wazi

    Kumbe unafahamu nchi inahtaji naendelea ya watu wala sio vitu.
Back
Top Bottom