Recent content by leah chubwa

  1. L

    Wahitimu wa Open University tunadharaulika bila sababu, kwanini?

    Mna utoto sana, hata mleta hoja huna akili...na naamini hata kama ungesoma harvard wewe ni kiazi tu huwezi kuuzika kwa fikra zako hizo. Mambo ya vyuo bora ni ushamba kubishania. Njooni sokoni tupambane sio chuo, kwani wa udsm wote wameajiliwa? Au udom wote wana ajira....je, out wote hawajawahi...
  2. L

    Edward Lowassa special thread

    Poa tutakutana oct wakoloni weusi watatujua
  3. L

    Rasmi: CCM yafutika Monduli nzima!

    Nipo zenji .sijawahi kupiga kura ila mwaka huu lazima turudi na familia yangu dar. Ntachukua likizo, mimi wife, shemeji zangu na wote nilio nao lazima tuilaze hii ccm chini. Mwaka huu kisu cha shingo. Viva ukawa
Back
Top Bottom