Ni kwel bana, lakini sio kwamba geri lilifungwa wasitoke... watu walikuwa ni wengi mno, geti la kutokea lilitumika moja huku mengine yakiwa yamefungwa...
Angalia usije aibika ukakosa hata la kunena humu, maana mnazungumza bila kubakisha maneno ya ziada..
Amani kwanza, ukikubali kushinda kubali pia kushindwa.
Elimu ya mapenzi haitolewi popote isipokuwa kupitia maisha ndani ya penzi.
Mme unatakiwa kuwa limote ya kumkontro mwanamke bila kutumia nguv nyingi isipokuwa akili nyingi. Na pindi unaposhindwa kufanya hivyo hata yule mwanamke aliekupenda kwel utamuacha kwa kigezo kama hicho. Hivyo kila mme...
nadhani alie fanya research alikosea kutoa majibu badala ya KUNYONYESHA kw mda mrefu AKAWEKA HIPS KUBWA. Kama ni hips humfanya mtoto kuwa na akili vipi kuhusu wenzetu wajapane, wahindi n.k walionyimwa hips.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.