kama viongozi wa Tanzania waliosababisha hasara ya zile pesa watahojiwa na watashtakiwa lakini hao barick waliodanganya pia watakutana na wataalamu kulipa na wako tayari kulipa ila wenzetu kushtakiwa. haki Mungu haki yako itendeke pia. huu ni upuuzi kabisa, hawa barick wanalipa wanaendelea...
Nchi hii (TANZANIA) kwanini lakini na itakuja kuondoka kama upepo na kizazi kinaharika. Mh Raisi anasema piga kazi vijana wanapiga kamari au sio, alafu kesho nani ameturoga... Ila inauumiza hata huwa nashindwa kujua...
Hayuko sahihi sababu kila mmoja anao uelewa wake na namna ya kutafsiri mambo ivo kutaka Mtu afikiri vile wewe unafikiri ni dhambi hata kwa Mungu, jambo la msingi ni kufanya mambo yako ikiwa wewe unaamini uko sawa
Hakika kuna wakati sisi kama vijana au kama watanzania tunashindwa kufikia malengo na mipango mikubwa kwa sababu ya kutotambua wapi tumetoka, yamkini tuendako Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye na hakika atatufikisha maana hakuna aijuae kesho. Kwa muda mrefu ndugu yangu umekuwa unakerwa ni kweli tena...
kwetu sisi kumlaumu Makongoro leo sidhani kama ina msaada ila tu, tutambue viongozi wetu wengi wanafanya maamuzi ya kuondoa vitu au kuongeza kutokana na msukumo wa watu fulani au upungufu wa akili zao. Tunaweza ona mfano wa hoja mwaka 2003 kuondoa masomo ya biashara na kilimo pia kutoa michezo...
mmetisha watanzania na kwa kweli anaepuuza mawazo ya watu kwa namna yeyote iwe mitandaoni ama katika mikusanyiko hapendi maendeleo kabisa lakini kwa mawazo haya mengi ya mlio wengi tunaweza kuona au kujiona wapi bado na nn tufanye
Wadau nadhani tukiwa na msingi wa mazungumzo yetu ni vema zaidi, upande wangu suala la kutengua na kuteua kila siku si jambo jema sana ila inapobidi tu na pia nahisi kuna idara au taasisi zinapaswa kubaki imara na hiyo itachangia sana utendaji wa kazi. Pili nchi inaowatendaji lukuki haijalishi...
Wadau nadhani tukiwa na msingi wa mazungumzo yetu ni vema zaidi, upande wangu suala la kutengua na kuteua kila siku si jambo jema sana ila inapobidi tu na pia nahisi kuna idara au taasisi zinapaswa kubaki imara na hiyo itachangia sana utendaji wa kazi. Pili nchi inaowatendaji lukuki haijalishi...
Pole Media.............hustle hard maana wanasiasa wanakupenda pale wanapohotaji kampeni ifike kwa watanzania lakini taarifa ikishafika na tayari wamepewa nafasi basi tena hapo ndo utaskia waanza wao kuona vyombo vya habari ni uchochezi. Hii ni Mbaya Viongozi wetu
Nahitaji msaada wa mawazo juu ya wazo la uanzishaji wa biashara ya duka la kuuza na kukodisha CD ikiwepo na tigo pesa lakini kuna jengo ambalo ni sehemu nzuri kufungua kitu kama shule ya watoto wadogo na tuition pia.
Nahitaji msaada wa mawazo maana kushika mbili nisije shindwa zote.
Siasa bwana na ndo maana ukiamini kila kitu katika siasa itakula kwako, hiyo ziara ni ya kushtukiza kwetu wasakatonge la ugali bila mboga lakini wao ilikuwa planned
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.