Gambo: Faru Fausta tutamtunza kwa gharama yoyote hata mkisema anatumia fedha nyingi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,885
FB_IMG_1492703869240.jpg

"Hata kama gharama za kumtunza Faru Fausta kubwa, kwa umuhimu wa Faru kwa nchi yetu na mbuga zetu lazima tuwatunze kwa gharama zozote zile" - Mrisho Gambo / Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Toa maoni yako
 
View attachment 498776
"Hata kama gharama za kumtunza Faru Fausta kubwa, kwa umuhimu wa Faru kwa nchi yetu na mbuga zetu lazima tuwatunze kwa gharama zozote zile" - Mrisho Gambo / Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Toa maoni yako

Sasa kama Faru Fausta anawaingizia Mabilioni ya Shilingi kila mwaka leo akitumia Milioni 300 plus kwa mwaka kuna tatizo? Naungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo juu ya hiyo kauli yake na sijaona ubaya wowote wa ' Kimantiki ' juu yake ila kama umetawaliwa na Siasa zetu hizi za ' Majitope ' na ' Uanaharakati ' wa ki hovyo hovyo lazima tu utamwona Gambo kakosea na utakuwa kila siku tu unaichukia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Sasa kama Faru Fausta anawaingizia Mabilioni ya Shilingi kila mwaka leo akitumia Milioni 300 plus kwa mwaka kuna tatizo? Naungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo juu ya hiyo kauli yake na sijaona ubaya wowote wa ' Kimantiki ' juu yake ila kama
umetawaliwa na Siasa zetu hizi za ' Majitope ' na ' Uanaharakati ' wa ki hovyo hovyo lazima tu utamwona Gambo kakosea na utakuwa kila siku tu unaichukia Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania.

..wangetoa majibu yenye utafiti, wakitumia lugha za kiungwana kama ilivyofanya wewe wala kusingekuwa na tatizo.

..kinachotokea sasa hivi ni viongozi huko serikalini kushindana ktk kutumia lugha za kibabe na dharau.
 
Kwa hiyo hawa wanyama ni muhimu kuliko binadamu? Mambo mengine wafanye kimya kimya
Bila hao wanyama watalii ungewaona hapa nchini

Faida itokanayo na utalii kwa mwaka sh ngapi na wewe unalipa kodi sh ngapi

Inawezekana huyo faru anaingiza pesa kwa mwaka kubwa kuliko kodi utakayolipa kwa miaka 30

Anaweze kuwa na faida kubwa kwa taifa na siyo kwa mtu mmoja mmoja kama wewe
 
Sasa kama Faru Fausta anawaingizia Mabilioni ya Shilingi kila mwaka leo akitumia Milioni 300 plus kwa mwaka kuna tatizo? Naungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo juu ya hiyo kauli yake na sijaona ubaya wowote wa ' Kimantiki ' juu yake ila kama umetawaliwa na Siasa zetu hizi za ' Majitope ' na ' Uanaharakati ' wa ki hovyo hovyo lazima tu utamwona Gambo kakosea na utakuwa kila siku tu unaichukia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naomba kukiri wazi kwamba mimi ninaichukia mno serikali hii , ili baadaye usinishambulie , lakini la pili ni kwamba hii tabia ya uongo ya kutamba kwamba wanamtunza huyo Faru , huku ukweli ni kwamba kumbe anajitunza mwenyewe kutokana na hela zake wameuleta wa nini ?

Tanzania inafahamika kwamba imeshindwa kutunza wananchi wake ndio ije iwe wanyama , ningeshangaa sana !
 
View attachment 498776
"Hata kama gharama za kumtunza Faru Fausta kubwa, kwa umuhimu wa Faru kwa nchi yetu na mbuga zetu lazima tuwatunze kwa gharama zozote zile" - Mrisho Gambo / Mkuu wa Mkoa wa Arusha

Toa maoni yako
Anatetea ugali. Asingeongea tofauti hata kama ukweli anaujua.
Utalii unaingiza shs ngapi?
Wameona Muhimbili ilivyojaa sasa?
Usipokuwa na vipaumbele unadandia kila kitu.
Taifa linaangamia
 
Yeah...and only then can he continue to fcuk Faru Fausta's cunt at midnite when nobody's looking in order to stay in office.
 
Naomba kukiri wazi kwamba mimi ninaichukia mno serikali hii , ili baadaye usinishambulie , lakini la pili ni kwamba hii tabia ya uongo ya kutamba kwamba wanamtunza huyo Faru , huku ukweli ni kwamba kumbe anajitunza mwenyewe kutokana na hela zake wameuleta wa nini ?

Tanzania inafahamika kwamba imeshindwa kutunza wananchi wake ndio ije iwe wanyama , ningeshangaa sana !

Ushahidi wako ' vivid ' uko wapi Mkuu kama kweli Tanzania imeshindwa kuwatunza Wananchi wake? Halafu naomba kukuuliza Mkuu hivi Kazi ya Serikali zote duniani ni kuwatunza Wananchi wake kwa maana ya kuwapa huduma zote stahili au Kazi ya Serikali zote duniani ni kuweka tu mazingira mazuri na rafiki ili Wananchi watumie fursa na rasilimali zilizopo kujiinua na kujiendeleza kimaisha?

Binafsi kuna mambo ambayo huwa nampinga Rais Magufuli na Serikali yake na mengi pia huwa nayaanika hapa hapa JF bila uwoga, kificho wala unafiki lakini sasa nimegundua kuwa kuna wengine sasa tunazidisha lawama kwa Serikali yake kwa makusudi tu na chuki dhidi yake binafsi.

Hizo nchi ambazo unaona leo hii Wananchi wake wanakula matunda yao na Serikali zao za Mataifa yao zinafanya vyema hayo mafanikio hayakuja tu haraka kama kinyesi cha uharisho bali wamepambana na Uchumi na Kujijenga kwa miaka mingi mno. Mfano mafanikio ya Marekani ya leo yalianza takribani miaka 200 iliyopita ( Kihistoria ) hivyo leo hii kuisema Tanzania ambayo ndiyo kwanza ipo katika mid 50's za Kimafanikio na tayari hata dalili ya sisi kufika huko walipotutangulia wenzetu ni kutoitendea haki.

Changamoto za Kiuongozi / Kiutawala hazikosekani katika nchi yoyote ile na kikubwa tu ni Wananchi kushikamana, kupenda kufanya Kazi, kuacha kulalamika na kuwa Watumwa wa Siasa za Kipumbavu na za Kuviziana ambazo hazina tija wala msaada kwa nchi yetu hasa Kimaendeleo.
 
Watu wanaolalamikia gharama za fausta hawajui ni kiasi gan sekta ya utalii (northern circuit) inatengeneza pesa kwa taifa, wizara na wana Arusha. Hiyo fedha anayokula faru fausta kwa mwaka ni mapato ya kakampuni kadogo ka tours Arusha.
 
Back
Top Bottom