Recent content by layoni

  1. L

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Hiyo miradi alifanya kwa kutumia hela ya CHATO?
  2. L

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

    Yaani akili za SABAYA banah! Umeona ukijitetea kupitia mgongo wa CHADEMA, MBOWE NA WANYONGE ndio utasalimika? Serikali ya awamu ya sita sio ya MAHARAMIA, Serikali ya kiharamia imeshaondoka na mwendazake.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Wilayani Hai ni mkakati maalum

    Eitha umetumwa na Sabaya kumtetea au ni Sabaya mwenyewe ndio kakuandikia umpostie maana akili zenu ndogo zinalingana according to your writtings. Kumsafisha Sabaya inahitaji uwe na UZUZU LEVEL YA PhD.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mtozi Alloyce Nyanda: Kuna watu wanamtumia Swai kumchafua Sabaya?

    Mama amesema hataki wafanyabiashara wabugudhiwe. Huyu Sabaya ana madudu mengi ya hovyo, aliwahi kusema wafanyabiashara wa mabasi Arusha/Moshi-Dar wameunda genge la uhalifu kuharibu miundombinu ya reli ili biashara zao zisiathirike, kuna CCTV kamera footage zinamwonyesha akivamia biashara za watu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Point less. Umeandika mengi ila hakuna hoja yoyote ya msingi.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

    Tengeneza tatizo-tangaza kwenye vyombo vya habari-tatua tatizo.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kimetokea nini mpaka Dkt. Charles Kimei kuachwa kwenye Baraza la Mawaziri?

    Kwani katokea kanda ipi vile!
  8. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Mwangalie Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi (NEC) kisha toa maoni yako

    Naamini ni muda sasa wa kudai rasimu ya katiba ya Warioba. Bila kufanya hivyo tutakuwa tunapoteza muda na resources bila sababu ya msingi. Kwa tume iliyopo upinzani kutangazwa washindi ni ndoto za Alinacha.
  9. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

    Naamini kesho mtarusha matangazo yenye maadili njema.
  10. L

    JamiiForums Tanzania TBC wanatufanyia uhuni wa waziwazi walipakodi wa Nchi hii

    Wanachadema wenzangu tuwe na subira, fomu bado zinahakikiwa. Hakatwi mtu makamanda, tahadhari zote zimechukuliwa. Hakuna aliyewahi kushindana na nguvu ya umma akashinda. Makamanda Peoplessssssssss!
  11. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Duh naona TBCCM wameweka zilizokiki
  12. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Tunaandaliwa kisaikolojia wakuu, mmoja kashaliwa kichwa. CCK
  13. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu aonya juu ya mkakati wa nia ovu ya kumuengua baada ya watawala kupagawa kwa kimbunga chake mikoani, asema hilo halitofanikiwa

    Ile ya jana shamba la bibi ni tamasha la wasanii wa bongo na si kampeni eti
  14. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

    Kwani amechukua kwa tiketi ya CCM au CHADEMA. Soma vizuri kabla ya kukimbilia kukomenti. Ishu hapa ni kuwa fomu imechukuliwa na wahuni kwa tiketi ya CHADEMA. fullstop.
  15. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

    Wazee wa kula buti na mtama za kutosha. Mtama kama jimbo na mtama kama buti
Back
Top Bottom