Recent content by lavi01

  1. lavi01

    JamiiForums Tanzania TCRA, nawaombea msamaha Wasafi TV

    Mawio na Mwanahalisi uliyaombea msamaha?
  2. lavi01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

    Hata sasa napata mateso makubwa, sasa ni mateso gani zaidi ya haya ambayo naweza kuyapata?
  3. lavi01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

    Kwanini mkuu? Hata hivyo nimemsaidia sana, kumbuka toka mwanzo yeye ndo king'ang'anizi.. But huruma yangu ndo imeniponza!
  4. lavi01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

    Mkuu nakiri kweli nilifanya makosa, hata mimi nilikuwa na mawazo ya kusema et nitampenda tu kumbe wapi nilikuwa najidanganya..
  5. lavi01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

    Ni kweli mkuu..
  6. lavi01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

    Mkuu mtoto namuhudumia vizuri tu!
  7. lavi01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

    Nifanyeje ili anielewe?
  8. lavi01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

    Sasa mtoto wa miezi 6 ingewezekana vipi kubaki naye?
  9. lavi01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

    Mkuu umewahi kuishi na mtu usiyempenda?
  10. lavi01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Roho inaniuma, nimezaa na mwanamke nisiyempenda. Bado anataka kuishi na mimi

    Habari wadau! Katika mihangaiko ya hapa na pale kuna binti nilimkuta mahali, kifupi nikamtamani na nikataka nipite tu. Baada ya mbinu za hapa na pale, alinipa namba na tukajikuta penzini, baada ya mawasiliano ya kama wiki, nilimwambia aje home.. nilitaka kula mzigo akabana na mimi kulazimisha...
  11. lavi01

    JamiiForums Tanzania TCRA kujenga kiwanda cha kutengeneza simu

    Mifive tena
Back
Top Bottom