Recent content by Laufelix

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi, nimesomea Ualimu

    Habari wana JF mimi ni binti wa miaka 24 natafuta kazi ya aina yoyote ile nitafanya iwe tu halali. Elimu yangu nimemaliza chuo mwaka jana kozi ya ualimu kwa masomo ya kiingereza yaani literature na linguistic UDSM. Lakini nitafanya kazi yoyote itakayopatikana naombeni msaada wenu tusaidiane...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nimehitimu Shahada ya Ualimu, natafuta kazi halali

    Jamani naombeni msaada wenu mm ni binti wa miaka 24 nipo Dar es salaam nimemaliza chuo mwaka jana UDSM kozi ya ualimu kwa masomo ya kiingereza yaani linguistics and literature dhumuni la kuja kwenu natafuta kazi wapendwa ya aina yoyote iwe tu halali na sio haramu nitafanya pia iwe mkoa wa Dar es...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kuelekea hatua ya robo fainali Club bingwa Africa

    Wewe mwenyewe umekosea hesabu zako na hatutaki hayo mambo ya atakua wewe nani utabiri? Angalia msimamo wa ligi hayo mengine hatutaki kuyajua sahivi muda wake ukifika tutajua
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Kweli labda tutamuelewa ana maanisha nini
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara za uwakala wa M-PESA, AIRTEL MONEY na TIGO PESA

    Mjibu tu hapa hapa na wengine tupate idea
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Hili ntalifanyia kazi ubarikiwe
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Asante sana huko vibanda sio bei sana?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa boss
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    [emoji120][emoji120]
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nalijua hilo mpendwa
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Kwa eneo nililopo hakuna kwasababu naishi masaki kwa dada yangu na kwa mtaji nilionao na eneo ninaloishi hakuna nachoweza kufanya
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Sawa nashukuru[emoji120]
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Habari zenu wapendwa mimi ni binti wa miaka 23 naombeni ushauri wa kimawazo nipo Dar es salaam nina mtaji wa million 1 na laki 2. Lakini kila nikifikiria biashara gani nifanye nashindwa nifanye nini nisaidieni jamani kwa mtaji huo naweza fanya biashara gani?[emoji120] ==== Unashauriwa kusoma...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu biashara ya urembo

    Asante dear ni Kariakoo maeneo gani?
Back
Top Bottom