Recent content by lastBorn raY

  1. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania International Finance and Corporate Report (ACCA) Questions and Answers Soft Copy

    Habari, Naomba msaada wakuu mwenye recently soft copy za vitabu hivyo tafadhali.
  2. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua uhusiano kati Coding and Accounting

    Ndo wanaita system automation sio?
  3. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua uhusiano kati Coding and Accounting

    By professional ni accountant but nmepata fursa ya kusoma Coding. Naomba kujua how they relate. Kwa career yangu PYTHON itanifaidisha vipi? Naombeni mchanganuo🙏🏼
  4. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Tubarikiwe sote Amin
  5. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Okey nmekupata sana sana. Shukran
  6. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Utendaji sio maneno
  7. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Hatar yan
  8. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Asa umetisha mkuu
  9. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Dar es salaam
  10. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Ndo kutafuta haina namna. Hata page tatu tu
  11. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa Proposal kwaajili ya kuomba kazi

    Hii imekuwa mpya kwangu katika harakati za kutafuta kibarua. Nimeambiwa niandike proposal ya namna ambavyo nitaweza kuongeza wateja na kukuza biashara. Ni upande wa Administration ya Hotel.
  12. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Criminal Report?

    Nahitaji criminal report na sijui wapi inatolewa au ni utaratibu gani wa kufata ili niipate. Naombeni kufahamishwa nimekwama
  13. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa research proposal

    Na hizi mvua
  14. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kuandikiwa research proposal

    It's just an assignment, naomba msaada nimebanwa na Majukumu.
  15. lastBorn raY

    JamiiForums Tanzania Nitumie desa gani kusoma Correlation na Regration?

    I need soft copy hizo garama daaah. Please help me [emoji120]
Back
Top Bottom