Msaada wa kuandikiwa research proposal

It's just an assignment, naomba msaada nimebanwa na Majukumu.
Kama umefika huku huwezi ukawa serious na chuo. Kuna mengi ya kujifunza wakati wa kuandika research proposal. Afadhali utafute mtu wa kuku ongoza kama supervisor wako yuko busy.
 
Kwa mwendo huu ndiyo maana akina Jenerali Ulimwengu wamefikia hatua ya kukiita chuo cha UDSM kuwa ni extended high school/form ten.
 
Back
Top Bottom