Recent content by Lastborn Mkubwa

  1. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania LESSON

    Ahsante
  2. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania BILA CHUKI BILA KUCHOKA

    😂
  3. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania LESSON

    Si kupingi
  4. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania LESSON

  5. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania BILA CHUKI BILA KUCHOKA

    Ahsante kwa wote waliotukimbia wakati tulipohitaji uwepo wao. Ahsante kwa waliotuona hatuna cha kuwashauri wala kuwasaidia; walitupa sababu ya kuwa bora zaidi. Ahsante kwa waliotuacha walipopata watu waliowaona bora kuliko sisi. Walitufundisha kuwa hata kivuli hupotea mwanga unapotoweka. Na...
  6. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Hata giza ni mwanga uliopungua

    Kuna sentensi moja ambayo ukiielewa vizuri inaweza kubadilisha kabisa namna unavyoitazama dunia: "HATA GIZA NI MWANGA ULIOPUNGUA." Watu wengi wakiisikia hukataa mara moja. Wanasema, "Haiwezekani. Giza ni kinyume cha mwanga." Lakini hebu jiulize swali moja. Giza linawezaje kutoweka kwa kuwasha...
  7. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Halo Effect hutokea pale ambapo sifa moja nzuri ya mtu inatufanya tuamini kwamba ana sifa nyingine nyingi nzuri, hata bila ushahidi wa kutosha

    Athari ya Halo (Halo Effect): Mojawapo ya upendeleo mkubwa wa kiakili unaoathiri namna tunavyowachagua watu ni kile wanasaikolojia wanakiita Halo Effect. Dhana hii ilielezwa kwa mara ya kwanza na mwanasaikolojia Edward Thorndike mwaka 1920. Halo Effect hutokea pale ambapo sifa moja nzuri ya mtu...
  8. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Saikolojia ya mahusiano; Kuelewa Hisia, Tabia na Mvuto wa Binadamu

    Uhakika kabisa ndo maana watu waliofanikiwa hawakujishughurisha na hivi viumbe mfano Nikola Tesla
  9. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Saikolojia ya mahusiano; Kuelewa Hisia, Tabia na Mvuto wa Binadamu

    Nikweli unachosema lakini maarifa ni bora zaidi ili ujue unaweza kujikabili vipi na mahusiano mabaya na jinsi ya kutengeneza mahusiano bora zaidi
  10. Lastborn Mkubwa

    JamiiForums Tanzania Saikolojia ya mahusiano; Kuelewa Hisia, Tabia na Mvuto wa Binadamu

    🧠 SAIKOLOJIA YA MAHUSIANO; Kuelewa Hisia, Tabia na Mvuto wa Binadamu. Kwanini unampenda mtu ambaye anakutesa?, Kwanini watu wazuri hujikuta kwenye mahusiano mabaya?, Kwanini baadhi ya mahusiano hudumu maisha yote, huku mengine yakivunjika licha ya upendo mkubwa? Majibu yake hayapatikani...
Back
Top Bottom