Mume wako amemjaza mimba Mchepuko wake. Bila wewe kujua, kisha huyo mwanamke anafariki wakati wa kujifungua.
Mume wako anarudi nyumbani na mtoto mchanga na kwa huzuni Sana anakueleza kila kitu kilichotokea.
Je, utakubali na kumlea huyo mtoto kama wako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.