Recent content by larryone30

  1. larryone30

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ng'ombe

    Habari wa ndugu Mimi nimfugaji wa ng'ombe, jana ng'ombe alizaa ndama bila hata msaada wowote yaani kusaidiwa kuvuta ndama, na tayari kondo limetoka. Leo nimerudi kazini nimekuta ng'ombe(mama) amelala chini tu, nimejaribu kumshtua aamke ameshindwa lakini anajitahidi kutaka kuamka. Naomba...
  2. larryone30

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    MSAADA Habari wa ndugu naomba msaada nina ng'ombe wangu amezaa jana mwenyewe bila kusaidiwa kuvuta mtoto. Leo nimerudi kazini nimemkuta amelala hawezi kuamka nimejaribu kila namna imeshindikana. Naombeni msaada au hata ushauri.
  3. larryone30

    JamiiForums Tanzania Nimeamka na kisirani leo jamani!

    Pole mzee ila nimejikuta nacheka sana. Kweli ni kisirani
  4. larryone30

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUBADILI USER NAME

    Habari wa ndugu Naomba msaada wa namna ya kubadili user name.....
Back
Top Bottom