Ninavyojua Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar Es Salaam na matawi yote ya chuo hicho kikiwepo chuo kikuu cha Mkwawa pale Iringa ni Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete.
Kunapokuwa na dhifa ya chuo inayofanya kuwepo kwa mkuu huyo kuwepo hatuwezi kusema mgeni rasmi ni Mkuu wa Chuo bali huyo...
Inaitwa BINGO.
Imepewa jina la BINGO sababu ni sawa na ile kamali unayocheza ya bingo ya pata potea.
Hawa jamaa wanaopiga hizo picha kwanza ni njaa, pili wanafanya biashara ya pata potea, yaani kuna wakati analipa studio shs 10 alafu anapata shs 7.
Pili hawo jamaa wanafanya vile ikiwa na...
Umeongea jambo la muhimu sana.
Kwanza nikiwa mdau wa tasnia hii napenda kukutoa tongotongo kadhaa.
Moja, kuna sheria inayomlinda mtu yeyote dhidi ya matumizi yapicha zake popote endapo hakuomba idhini, ikiwa hata kupigwa picha.
Pili, baadhi ya wateja wetu huwa tuna waomba, kuwa tutatumia...
Mama analalamika waziri mkuu kuonyeshwa kibanda cha mamilioni, kwa nini asimpigie simu afanye maamuzi pale pale?, vinginevyo msilaumu kwenye majukwaa wote na hao waliojenga mnafahamiana.
Ila maandiko ya biblia mpaka uchapie kiasi hicho ni tatizo, ila kaka lazima tutofautishe maisha ya imani na matumizi ya imaniy hapo ndipo kuna shida.
Yaani unataka kuaminisha umma kupitia andiko alafu unajijua si msimaji wa andiko, kinachotokea ni kukosea tu.
Kusaidiwa nw maandiko ili kufanikisha hadhima yako inaweza kuwa sahihi endapo unatumia andiko husika ili kuponya hama kumuinua Mungu.
Ukitaka kutumia tofauti basi mwisho wako huwa mbaya japo si kwa wakati huo huo.
Spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa TanzaniaJob Ndugai alipokuwa bungeni...
Mbunge wa Muheza, Hamis Mwijuma maarufu kama Mwana FA amepata ajali katika eneo la Mkambarani mkoani Morogoro baada ya gari alilokuwa akisafiria kugongana na gari ndogo aina ya Toyota Crown iliyokuwa ikijaribu kulipita gari lake wakiti akitoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.
Watu wawili ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.