Recent content by Larkin

  1. L

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) yaanika Application 69 zilizofungiwa kwa utoaji mikopo kidijitali bila leseni

    Kwa ninavyo mfahamu kiongozi wa hiyo Kurugenzi iliyotajwa kwenye barua ya BOT, hizo apps zitatiwa adabu! Wakawaulize wahindi wa iliyokuwa Bank M
  2. L

    Benki sasa zinaishiwa shilingi, hii tunaitaje kiuchumi?

    Hili la benki kuishiwa shilingi sio kweli. Nadhani account yako ndio imeishiwa
  3. L

    BoT, toeni matangazo kupitia vyombo vya habari kukumbusha kuwa kufanya biashara ya kukopesha mitaani bila leseni ni kosa la jinai

    Mkuu Salary Slip naamini BoT wamekusikia. Najua kuna Mkurugenzi mpya wa Usimamizi wa Sekta ya Fedha, very active, hataacha hili lipite bila kulifanyia kazi kama kuna ukweli. Najua anatembeleaga humu.
  4. L

    Kwa mwenyeji wa moroni comoro

    Nakushauri ufikie Retaj Hotel. Bei ni kati ya USD 55 mpaka USD 80. Bargaining power itasaidia kupunguza. Usitegemee makubwa, ni pa kawaida sana na vitu vingi wanafungasha Kariakoo. Ukienda na ATC utaona Wakomoro wanavyofanya shopping Bongo. Kama unapenda maisha ya usiku ukifika wenyeji...
  5. L

    KIFO NA NDOA: Naomba nichukue nafasi hii kuisifu misingi ya dini ya Kiislamu

    Mkuu Faana umetaja suala la kuwasaidia maskini, wajane, wagonjwa na mayatima. Hakika limenigusa sana hasa kuona ambavyo binadamu tumejisahau kuyasaidia haya makundi wakati tukionesha ufahari katika maisha na nyumba za ibada. Kuyasaidia haya makundi ni miongoni mwa ibada kubwa kabisa!
  6. L

    Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    Tuwe tuu wakweli mama anahangaika sana japo tupige hatua chanya. Tumtie moyo kwa kumpa sapoti!
  7. L

    Great thinkers wa JF, tuache kujadili viongozi/uongozi badala yake tujadili mstakabali wa taifa letu!

    Lanlady nakubaliana na hoja yako ambayo ni ya msingi sana! Mfano baada ya ripoti ya CAG watu tumejikita kubishana ni awamu ipi imesabibisha ufisadi uliotajwa badala ya kujumuisha nguvu pamoja na kuonesha hasira zetu juu ya huo ufisadi na madhara yake kiuchumi, kijamii na kwa maendeleo ya taifa...
  8. L

    Kama Uhamiaji matendo ndio kama hayo. Je Nchi yetu ni salama kiasi gani?

    Sawa ila haya yalitokea pia wakati wa Magufuli. Hii ripoti ni ya 2020/21. Ukweli ni kuwa upigaji Uhamiaji umekuwepo siku nyingi pamoja na kuwekewa mifumo ya ulipaji. Wafanyakazi kwy viwanja vya ndege ni kawaida kabisa kuwaambia wageni mfumo uko down hivyo wanalipa manually. Hapo unategemea nini...
  9. L

    Askofu Gwajima: Nchi imekosa maono, kila Rais anakuja na lake, ipo siku tutajuta

    I fully agree with you. Tatizo la vichaa wetu ni level ya ukichaa kufuata uchumiaji tumbo! We need leaders who are consistent and who would constantly be there for broad interest of the nation. Tusiwe watumwa wa matumbo yetu!
  10. L

    Askofu Gwajima: Nchi imekosa maono, kila Rais anakuja na lake, ipo siku tutajuta

    Ni kweli ana hoja ndo sababu nchi kama Marekani rais anakabidhiwa national policy ambayo inampa direction ya nchi. Shida yangu ni moja tuu, je Magufuli angekuwa hai Gwajima angeongea haya?
  11. L

    Ahirisho la 'press conference' ya Katibu Mwenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka

    Ni kweli kabisa Dega. Ondoa tuu maneno 'wajinga' na 'washenzi'. Ukishaondoa utakuwa sawa asilimia mia.
  12. L

    Yes! Rais Samia mmemchokoza, sasa mtalinywa!

    Kweli wewe escrow. Umeniacha hoi. Mama kanikosha sana
  13. L

    Yes! Rais Samia mmemchokoza, sasa mtalinywa!

    "Bungeni kwa akina katelephone"
  14. L

    Msamaha wa Spika Ndugai kwa Rais Samia ni kifo cha mende kwa lile kundi

    Kuna kundi lilidhani system haiko na mama, linakosea. Baada ya huyu muungwana kuongea 26 Dec siku iliyofuata mtu akapewa ki-note akaongee Clouds Power Breakfast, jana wametumwa zoom meeting, leo yeye mwenyewe kaambiwa aombe msamaha.
  15. L

    Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

    Mama zunguka uilete dunia Tanzania. Lazima tuende na utandawazi hatuwezi kujifungia. Tunahitaji wawekezaji. Zaidi ukitoka watasema, ukijifungia watasema!
Back
Top Bottom