Nimetoka kuelezwa na padre juzi kati ktk ibada ya KUABUDU EKARISTI kuwa wanafanya hivyo ili kuwaamsha wanaolala.
Ina maana wengi wa waumini wao wanakuwa hawasikilizi mahubiri au wanakuwa wamechoka au wanasinzia kwa mawazo
Kupata uhalisia tupite mahospitalini hasa makubwa, na ma kampuni ya ujenzi, ya simu na tanesco tujue zina madaktari na ma injinia wangapi.
Vinginevyo akili zao zinaishia huko msingi na sekondari
Ni mchezo mmoja tu dhidi ya prison ndo tunaweza kupata droo mingine yote ni kuwafunga tu.
Tena prison ni mchezo wa mwisho hatuna haja ya kwenda uwanjani wapewe point zote 3.
Ya nini kwenda kutesa miguu ya PACONE, AZIZ,YAO NA mikono ya DIARA
Ila kwa uongozi wa sasa wa Mama ndo kaharibu kabisaaaa.
Hata sehemu zile ambazo syo za muungano mfano wizara ya serikali local government samia kateua wakurugenzi toka znz kutawala.
MFANO HANIFA HAMZA mkurugenzi wa KINONDONI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.