Mbona kampuni zinatafuta watu wa kazi vyuoni na zingine zina peleka watu kusoma nje, kwakujua kuwa wataalamu hawapo Tanzania kampuni za utafutaji na uchakataji gasi zinasaidiana na chuo kikuu cha daresalaam kuanzisha mafunzo ya fani hizo mwaka wa masomo ujao. Sasa hao madogo wenyewe wanatafuta...
Azimio la Arusha ni mti. Kuliacha azimio maana yake ni kuacha mti na kubaki katika matawi tukiogelea hewani ammbapo mwishowe ni kudondoka katika maisha na kuanguka jumla. kwahiyo turudishe mti turudishe azimio tuweze kustawi kwa ubora.
Rasilimali za Tanzania hii ni kwa ajiri ya kumuwezesha kila mtanzania kujipatia hali njema ya maisha kutokana na hizo mali. unyonyaji, ufisadi na kujirimbikizia mali si sawa hata kidogo, vitu vyote vipo kwaajiri ya wote. Pengine kutokana na changamoto mbalimbali zinazotukumba katika maisha...
Heri yako Maganjwa maana umetuletea uzi wenye maana katika wakati tukitafakari namna ya kuikomboa Tanzania kutoka katika umagharibi, pengine niseme kuwa azimio la Arusha ndiyo mwongozo bora wa kutupeleka pahala sahihi kama tutalisimamia bila ya kuhujumu mazuri yote yaliyomo, lilitamuka wazi kuwa...
Ni ujinga kujaribu kufikiri kuwa kikwete anasababisha machafuko ya mtwara, lakini pia kudhani kuwa kufanya fujo ni kutatua matatizo, sasa kama wanamtwara walijua umuhimu wa kujadiriana kwanini waliingia mitaani na kuanza kusumbua watu walio kuwa tayari kuendelea na shughuli zao za maedeleo? ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.