just simple!kuna instruction unakosea wakat unafanya installation pale inapokuomba update this windows now, dont say yes just say not at this time, coz unaposema update now inaforce 2 search internet for upadating!hope wll work if happen again consult me i gonna help when it reaches to that stage
problem ni kwamba iko recognised in registry system,so kuna option kama 3 au 4 unaweza kufanya
1)fanya system restore b4 that day umeiconect kwenye internet na kuapgrade!caution kama ulifanya any installation after that will be unistalled and only lefted programs ztakua from that day ulikua...
ndo hvyo@papizo,2ko kasi jamaa kamwaga sumu za ukweli,ccm hawana chao mpaka katibu wa ccm tawi la uhasibu kasign out cmm kaamua kukata kauli na kutubu na kulogin CDM....CDM 2ko pamoja pamoja 2tajenga nchi ye2..
Chama cha Maendeleo na Demokrasia CHADEMA, kimetikisa chuo cha uhasibu arusha (IAA) baada ya MH Lema kufungua tawi jipya ukanda wa uhasibu,huku mamia ya wanafunzi wa chuo wakichukua kadi za CHADEMA na wengine kurudisha kadi za CCM na kuwa wanachama wa CHADEMA.Huo ni mwelekeo mwema kwa...
ama kweli kunawatanzania ambao hawana huruma kwa watanzania wenzao,kama askari wangetumia busara na c amri walizopewa na shemejiye jk yote hayo yasingetokea, mapambano bado yanaendelea mpaka kieleweke
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.