SINGAPORE AIRLINES (SIA), hili ndilo shirika la ndege bora zaidi kwa kutoa huduma kwa wateja, yani ukichukua mashirika yote ya ndege kama British airways, Emirates, air TANZANIA nk, Singapore airline ndio alfa na omega wao kwenye huduma kwa wateja.
Wamefanikiwa kuchukua tuzo nyingi zaidi...
Ripoti ya 2018/19 ilikuwa mbaya vile vile, isipokuwa media hazikupata muda wa kujadili. Nenda kweny udart kweny ripoti za nyuma, kuna almost billion 5 zimepigwa, nenda halmashaur ya chunya mirad mingi ya wiz, nenda kyela. CCM bado ni tatizo!
Yani kumpongeza mtu within 3days tayari wapinzan wamepoteza agenda? Kwamba kwa hizo siku 3 upinzan umeacha kazi zake? Inamaana wapinzani wakiona jambo zuri wakasifia tayari wanakuwa wamepoteza agenda, mbona by then mlikuwa mnalaum kwa nini hawaungi mkono lolote. Halafu ulitakiwa ujifunze kwamba...
yupo sahihi now days ili upate USD 100, lzm uwe na 234k, wakati 2017 ukiwa na dola 100, unapata 220k. Kwa maana hiyo bado dola inapanda juu, nimechange last week hapa tabata liwit crdb
Mimi napendekeza chadema iagize haraka nafasi zilizoachwa WAZI kujazwa, kisha waanze process za kuliagiza balaza la wanawake kuchakata na kupendekeza majina ya viti maalumu, ili yapelekwe kamati kuu kuchambuliwa, kisha mchakato uchukue muda mrefu hapo kweny kamati kuu. Kuwaacha warelax kabisa...
Rais Magufuli au Waziri wa mambo ya nje wangepata nafasi ya kulihutubia bunge la EU na Marekani , hapo ingekuwa mafanikio ya awamu 5,lakini Tundu Lissu kulihutubia bunge la EU na Marekani ni usaliti [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Ni sahihi Magufuli katurudisha, mwaka 1995, ni kweli upinzan umekufa kutakwimu japo kiuhalisia bado upo, tena upo sana na ni kweli kwamba bado tunahitaji siasa za ushindani. Lakini kwa tulipofikia, mapendekezo yako ili kufufua upinzan sio sahihi, na hayapaswi kutekelezwa na Magufuli na hata...
Kama viongozi wa CHADEMA wana MTAZAMO mpana na chama basi hawatakiw kupeleka wabunge wa viti maalumu, ili kuwa na future kubwa na kuendelea kukubalika. Lakin kama wakitaka mwisho wa CHADEMA uwe 2025 basi wapeleke viti maalumu. Kupeleka viti maalumu kuta prove jambo moja ambalo ni hatari kisiasa...
kuna watanzania wa enzi hizo, walimuona Nyerere ni mkorofi alivyoshitskiwa na wazungu kwa kupinga serikali ya kimabavu, nyie pia hamna tofauti na wa south Africa, waliokuwa wanamuona Mandela ni mkorofi na amejitakia kukaa gerezan wakati anapiga ubaguzi kule south Africa. Kwa hiyo kupewa adhabu...
Mkuu umeandika vizuri, japo kuna sehemu ulitaka kuegemea upande wa chama chako lkn umejitahidi kubalance. Sasa ngoja nijibu hoja zako kama ifuatavyo...
[emoji117]kuna hii watu wanaenda kuangalia muujiza, hii hoja inashadidiwa na CCM wengi, lakini tujiulize TUNDU LISSU kuna maeneo kaenda mara 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.