Recent content by lanesto

  1. L

    JamiiForums Tanzania Day 1 !!! Uhamiaji

    Naiwe ivo ili wanyonge nao wabahatike!Mungu atatenda Miujiza.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Afisa tarafa

    Mbona kwenye website yao majina hayo hayapo?Msaada zaidi
  3. L

    JamiiForums Tanzania Afisa tarafa

    Ninamdogo wangu alifanya usaili Utumishi wa Afisa Tarafa vipi walisha itwa watu kazini?Naomba kujuzwa!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuusu MDAs and LGAs

    Wa JF naomba kujuzwa kuhusu kuitwa kazini kwa wale tuliofanya usaili wa mahojiano tar 19/06/2014 Utumishi kwa niaba ya Serikal kuu na za mitaa(MDAs&LGAs) kama Afisa tarafa,tawala,ustaw wa jamii
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sekriterieti ya ajira mbona hamueleweki

    Chek kwny website yao wametupia majina ya walioitwa kazin sehemu mbalimbal kwa agr,livestock n.k
  6. L

    JamiiForums Tanzania Office Manager wanted - Lady

    Only ladies?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Siombi tena kazi uhamiaji

    Majna ya wakubwa ndo mengi na C/o za watu wanaofahamika c tuliotoka familia masikin ndo tuliokosa bt tukomaa tu tutatoka hata bila kuajiliwa me saiv na degree yng nimekuw mpiga picha kitaa wananicheka bt nakomaa kiaina
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tuishitaki TPB Bank kwenye tume ya ajira

    Watu washareport vituon
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Uhamiaji

    We dogo ucwe mpuuz kwanza nenda ulikopata acha tamaa me ninamiaka 7-sina kaz na maomb natma kila day na cjapata na deal na ujacliamal sa we unataka kuchezea kaz hay utazibua vyoo mtaan bila vifaa shauri yako
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwa wale degree holders mnaotaka kujiunga na JWTZ

    Naomba nyie mlioko kwnye chanel za Jwtz mtusaidie sie tusie jua mbinu za kujiunga kama me napenda sana kuitumikia nchi ynga na ujuz mzur tu ktk Remote sensing and GIS niliyoisoma kam ni course mojawapo ktk bachelor yng xo tusaidien wadau c sote watz!
Back
Top Bottom