Kama ni uchambuzi huu ni uchafu. Kwanza kwanini tufikiirie tu vyama vya upinzani kuangika na si ccm? Utofauti Wa fikra ndio ubora wa chama. Hawezi kuwa na fikra Sawa kama nyumbu wavukao mto halafu mkasema mko Sawa. Utofauti wa fikra upo hata chama tawala na hili si jambo baya. Nafikiri sote...
Kwanza kabisa napenda kuwashsauri waendesha vipindi redion na kwenye television kuwa kama si ushsbiki Wa kichama basi wawe wanatuwekea pande zote mbili yaani chama tawala kwa maana ya serikali na wapinzani kwa upande mwingine. Haya mambo ya kuweka upande mmoja dhidi ya hewa, hayatusaidii Wa tz...
In short hana jipya anatetea madaraka yake tu. Katiba ni swala la kitaifa si chama chochote. Tunaijenga tanzania kama taifa na wala si cuf wala cdm au ccm. Viongozi wetu wawe makini wanapotoa kauli zao.
Miradi ya serikali inazinduliwa na chama? Kodi zetu hizo si za chama. tungefurahi zaidi angezindua rais. So far we have forgotten about party supremacy but we see it creeping gradually into the present politics. Ajabu!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.