Wakirsto saivi wanakimbizana kujenga mavuo vikuu baada ya Kuwa na mashule ya kutosha,wenzangu na mie tunakimbizana na mahakama ya kadhi.tukishangaa wakristo wameshatupiga bao TENA.hiyo mahakama haitatuongezea uwezo was kujiongeza kielimu dunia wala haiwezi kutupa kazi za...
Mwenge,Mtume na Nabii so mchungaji...badala ya kuishupalia serial(dola)ifanyekazi ya kuzuia uhalifu,sikuacha uhalifu utokee ndo waanze porojo tunaanza kuingiza udini huku.Usalama wa Taifa waache siasa wasimame kidete kuzuia kila utekaji wenye kuleta ukakasi nchini.
Shetani na Mungu muumba Mbingu name vyote NANI zaidi?seriali haipo makini kwa kuogopa kuwagusa wachawi kwa kuwa wanawategemea.jambo chili ni dogo sana tungekuwa na japo 25% ya viongozi wa juu wacha Mungu.wengi ni maharamia ndo mana hata hoja kuhusu askofu,si shekhe haina mashiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.