Umemaliza yote mkuu, hakika hii fani unaifahamu vizuri,
Na hii sio mafundi tu hata anaetaka kuwekeza anaweza kuwekeza humo, gharama ni ndogo na faida ni kubwa sana,
Kazi na umri mkuu, hao wazee wako kwenye miaka zaidi ya 60, waliridhika na ajira ya Mhindi hawakuwa na mawazo ya kujiongeza,
Lakini kwa fani hii ukiweza kujiajiri unapiga hela ndefu sana, bado mafundi waliojiajiri sio wengi sana
Ni fani nzuri, inaitwa Fitter/Tuner lakini shida iko kwenye kujiajiri, lazima update set ya machine zote kama Miling machine, Sheper na Lathe Mashine na driling ambazo ukipata used ni bei kubwa sana,
Ukiajiriwa hutoboi, utaishia kufanya kazi kwenye Workshop za Wahindi kwa ujira Mdogo,
Nawajua...
Kwa hiyo hii Katiba ya kujitangazia ushindi feki wa 98% na kuuwa watu mliachiwa na wakoloni,
Kwa si mnasema ni nchi huru msipangiwe? Iweje mkaridhi katiba mbovu kama hii?
Hao wakoloni wakitaka chochote hamna ubavu wa kuwazuia, tena huwa mnawaita wawekezaji,
Tena alilitolea Bungeni, kuongezea uzito,
Na Madelu akajaa upepo lakini linatenguliwa na DCP wa Polisi wala sio IGP,
Katiba ya hovyo sana unaigeiza unavyotaka,
Kwani una nini Mayalla? Mbona mada za kunyongana unazileta sana.
Kama wamepanga kumnyonga Mr Lissu wafanye hivyo mapema kama wanaona ndio njia ya kufurahia madaraka waliypora kwenye uchaguzi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.