Recent content by lalikajr

  1. lalikajr

    TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    movie iendelee... Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  2. lalikajr

    Picha: Mama Mghwira akizungumza na kamati ya Siasa CCM mkoa wa Kilimanjaro

    open your mind na usiwe mtu wa kumezeshwa maneno kwa ushabiki wa kichama.
  3. lalikajr

    Pwani: Mwingine apigwa risasi mchana huu Mkuranga

    mungu atuepushe na mabalaa haya.
  4. lalikajr

    Waziri Nape: Nimevifungia vituo viwili vya radio ambavyo ni Radio 5 Arusha na Magic FM ya Dar

    magic na radio five sio vituo vya kujibembeleza kama clouds fm wananikera sana hata habari zao sitakagi kusikiriza.
  5. lalikajr

    Jambo la kushangaza katika magazeti ya leo

    msiba wa gazeti lamseto haujaisha bado.
  6. lalikajr

    Natafuta mnunuzi wa madini ya dhahabu mbichi kianzia kilo moja na kuendelea.

    Habari zenu wanajamvi, natafuta wateja wa kununua madini ya dhahabu kuanzia kilomoja hadi kilo tatu, yameshapimwa tayari.
  7. lalikajr

    TV1 Kurusha Live ligi kuu ya Uingereza(EPL)

    bora itupunguzie adha ya kwenda vibandaumiza na bukubuku zetu kwa sie tusio na DSTV.
  8. lalikajr

    Hata angeshuka malaika,hataweza kuiongoza Tanzania kwenye mfumo mbovu wa serikali ya CCM

    tuache kushabikia vyama vya siasa kama timu za mpira, walichokuwa wakikisema ukawa nikatika kutetea maslahi ya taifa na kuwakomboa watanzania katika mfumo dhalimu wa chama cha mapinduzi na ndio kazi ya upinzani ikiwemo kukosoa serikali iliyopo madarakani pia. sasa haina maana kwamba hata mazuri...
  9. lalikajr

    Ni kosa kubwa kama tutawafunga Algeria, Waafrika wenzetu hawatatusamehe

    hata mimi nakuunga mkono mleta uzi.
  10. lalikajr

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    ikiwa raisi mwenye mamlaka ya nchii hii alishindwa hata kumpeleka mahakamani, iweje sisi raia wakawaida ndio tumchinje? kura yangu ni kwa lowasa tu.
Back
Top Bottom