Recent content by laiza

  1. L

    Mumewe anajua ni mtoto wake kumbe ni wa mchepuko wake na mchepuko unataka mtoto wake!

    kikulacho kitanda hakizai haramu. wewe umemsaidia jamaa kumuongezea watoto hivyo wasahau kabisa .
  2. L

    Dr. Bana: Timu ya kampeni CCM ni Bomba

    Huyu Dr.bana asikuumize kichwa sana kwani anajulikana ni CCM cadre. timu anayoisifia ni bomba kwao tu lakini kamwe haiwezi kugeuza matarajio ya watanzania
  3. L

    Ukame wa wana CCM kuhamia CHADEMA, je Lowassa amefilisika au ameuziwa mbuzi kwenye gunia?

    Hot lady subiri wewe acha kimuhemuhe....watu kuhama kutoka CCM sio lazima wakutangazie wewe...watanzania wameamka na wanajua wakifanyacho. watakapomaliza kazi wataondoka CCM kwa makundi na kuja CDM. hiyo tathmini yako isiyo na data haina mashiko ni sawa na kuongea na mlevi ukamwambia basi la...
  4. L

    Mashabiki wa Edward Lowassa mmeyafikiria haya?

    Davesto a.k.a Juma Khalfani utahubiri sana lakini kamwe huwezi kuzuia kiu ya watanzania kwa sasa . watanzania wanataka kuitii (obey) kiu yao ya mabadiliko kwa maana kuwa wamechoka kuongozwa na chama kilekile miaka nenda miaka rudi. Watanzania wamekwisha sema Tanzania bila CCM inawezekana na...
  5. L

    UKAWA unaijenga CCM zaidi kuliko kuibomoa

    Tomorrow people ni kweli JPM atakuja kuwa rais bora tanzania baada ya UKAWA kumaliza vipindi viwili vya miaka mitano mitano. CCM wanawekwa kando kwanza ili wajitathmini na nkujipanga halafu miaka kumi ijayo wakijaaliwa wamsimamishe tena JPM ili aje kuwa rais bora tanzania
  6. L

    Watanzia tuamke juu ya Lowasa.

    Mawazo kuntu na mimi nakuvulia kofia..hats off...umenena kweli kabisa na kama prof atasoma hapa itambidi yeye na dokta watafute sababu nyingine . Lakini niseme tu kuwa wamechelewa kwani watanzania sasa ni mwendo mdundo. wanasubiri agosti 21 filimbi ya kampeni ipulizwe wawaonyeshe akina prof na...
  7. L

    Wito: Fisadi kutoka chama chochote asichaguliwe mwaka huu 2015

    COARTEM tumekusikia ila hatujakuelewa. fisadi hawezi kuwa fisadi mpaka athibitike kuwa fisadi...haitoshi kusema coartem ni mgonjwa wa ukimwi bila kuthibitisha kitaalamu. tuletee uthibitisho wenye mashiko ili tukubaliane na hoja yako vinginevyo fahamu kuwa tanzania bila ccm inawezekana na ni...
  8. L

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    kumbe humphrey polepole alipokuwa na marafiki wakati akiwa mkurugenzi wa asasi yake walikuwa wameoa dada zake. halafu polepole ndiye malaya kwani ilithibitika na wale mabinti aliokuwa akiwaomba rushwa ya ngono. sasa alipozidiwa na mchungaji msigwa kwa hoja akaona atoe matusi au maneno ya kuudhi...
  9. L

    Kinachomsukuma Lowassa kuupata Urais kwa udi na uvumba: kulinda ill gotten gains!

    masopakyindi tulitegemea ungetupa na takwimu pamoja na akaunti za benki za EL na kiasi kilichopo benki. pia ungetupatia hata payment vocha moja ya kipindi hicho cha maafa inayoonyesha EL kavuta mshiko na kama hilo litakushinda basi ungewasaidia tume ya maadili ya viongozi kuwaeleza ukweli kwa...
  10. L

    Dawa ya Lowassa yapatikana

    pande hiyo akina nape mropokaji na nchemba na sitta pande hii watu mahiri akina tundu antipasi, john john professa safari jussa ismail kwa hiyo ninyi semeni uongo na uzushi sisi tunakuja kupangua uongo wenu na uzushi wenu kwa hoja na data zilizokamilika. ifikapo oktoba 25 mtajua kama yenu ni...
  11. L

    Nimetapeli watu wengi sana, nimechoka na uganga feki nahitaji kuacha

    sheikh yasin kwanza pole sana kwa masaibu. ninakushauri kama utajisikia tuwasiliane nikufanyie kisomo na nikupeleke mahali kwa zindiko la nguvu na hapo utaacha yote haya na utakuwa yasin mpya . nitwangie 0659258932 sheikh yasin
  12. L

    Jenerali Ulimwengu, kumbe hata wewe ni mnafiki!

    hakuna mashiko kwenye hoja zenu wote. ninyi kma hamumtaki msitulishe sisi dhana ya kumkataa kwani sisi tunamkubali sana. inawalazimu mfanye kazi ya ziada kuwashawishi wapiga kura wamkatae na sisi tunawashawishi wamkubali. dakika tisini zinaisha oktoba 25 saa nne mpaka saa saba usiku....sikiliza...
  13. L

    Jenerali Ulimwengu, kumbe hata wewe ni mnafiki!

    mfianchi yaani unaonyesha waziwazi kufia nchi...ama kweli ...hakuna mrusha mitusi na hakuna msaka madaraka kwani demokrasia inatoa wigo mpana wa raia kushiriki siasa. usifikiri ukimnyima kwako basi asiende kwingine hapana. EL ametafakari na sisi tumetafakari sote kwa pamoja tumeona anatosha...
  14. L

    Jenerali Ulimwengu, kumbe hata wewe ni mnafiki!

    Hakika Jenerali Twaha Khalfani Ulimwengu hana msimamo na hugeuka pindi upepo unapovuma upande mwingine. Hata hivyo tusije tukabweteka kwa kudhani tupo pamoja na wazalendo halisi. inatupasa tuwe makini na tujitahidi kuhamasishana ili sote kwa umoja wetu na wingi wetu ifikapo tarehe 25 oktoba...
  15. L

    Vijana kwenye Maandamano ya kumsindikiza Lowassa walipora mali

    informer wacha ujinga wako wewe. jeshi la polisi halitoi press release kwenye makaratasi bali linaita waandishi wa habari na kuutangazia umma halafu linawapa nakala za press release kwenye heade paper zenye nembo za jamhuri pamoja na ya polisi. kawadanganye ccm wenzako kwa uongo huo!
Back
Top Bottom