Recent content by laiton raphael

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Lumumba Fc jamaa kwanza mzee hakuvaa nguo hzo na pia unachotaka wew ni sawa na uwanja wa taifa kuwa na speaker moja na hyo speaker ndo itumke kwa watu wote ukweli speaker za ile system zilikuwa znasikika mbele tu coz raia weng mno
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    UKWELI MITAMBO ILISUMBUA BT KAMA URAIS NI NGUV BT MAREKAN WANGEMPA MICHAEL TYSON AU TZ ANGECHAGULIWA RASHID MATUMLA #Spika zle zilikuwa znasikika mbele tu watu n weng zaid ya mikutano yenu ya ccm
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Acha Mambo Yako Cjawai Ona Wafanya Biashara Wa Tunduma Wakifunga Maduka Lakn Leo Wamesalim Amri Kwa Hiar Na Kuacha Kaz Zao Viva Lowasa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wito kwa walimu wenzangu, tuseme yatosha CWT-CCM

    hii hatar na walim wengi kiukwel hata ukikutana nao hawajawa tayari kukatwa na CWT na wanadai wameingizwa bila ridhaa yao
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tukuyu somo la ufisadi wa Lowassa limeanza kueleweka, vijana wanarudi CCM

    hahaha pov jingi kichwan maji hebu soma na wewe ulichoandka kama kinaeleweka au ww darasa la saba kama sio bas utakuwa form four failure
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tukuyu somo la ufisadi wa Lowassa limeanza kueleweka, vijana wanarudi CCM

    yaan wewe ndo umeongea pointles umekunywa chibuku au
  7. L

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa Tangamano, Tanga: Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, John Magufuli

    eti website unafkr sis hatujui hata hapa tunduma alikuja nao na waliokuwa wamejaa ni wa zambia wanataka kumwona diamond et
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    yaan hata ukawa waweke jiwe ccm waweke pombe sis tunapigia jiwe mungu wangu msaidie lowasa aweze kuingia ikulu
  9. L

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    i'm muslm bt lazma nihakikishe kura yang ni Lowasa Kwangu Haitabadili Kitu
  10. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    Hv CCM mnafkri mnaeleweka kwa propaganda zenu za udin na ukanda? token huko
Back
Top Bottom