Recent content by Laing'wanani

  1. L

    Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais

    Yaani hata polisi wanajua nchi inakwenda kushikwa na nani, so kutoa ulinzi kwa rais mtarajiwa ni lazima, teh, teh, teh:D
  2. L

    Makamu wa Rais Gharib Bilal kutangaza kukihama chama cha Mapinduzi

    Lisemwalo lipo kama halipo laja..!!
  3. L

    DC wa Kinondoni(Makonda) yupo anamsimanga Lowassa

    Kumpiga mzee kama Warioba ni laana kinyama, halafu akamfungia kamba za viatu riz moja, akapewa cheo sasa, Loing'oni anakuja kama Lowaru kerikeri, huo ukuu wa nini sijui utausikia kwenye bomba..!!
  4. L

    Lowassa asafirisha watu kutoka mikoani kuongeza idadi ya watu wakati wa kuchukua Fomu

    Wewe na ccm yako mtamsema sana, hata wewe ulikosa nafasi ndio maana unalalamika, mtaisoma namba mwaka huu;)
  5. L

    Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Mkuu huyo mteme tu, itafika mahali atakuulia ndani akishirikiana na mama yake, pole sana..!!
  6. L

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    Zamu yake ya urais ilipokaribia ndio maneno yakaenea zaidi, kwanini? waliona hakuna njia ya kumzuia kuingia ikulu, wakawatuma watoto waanze kumchafua kwa ahadi ya kupewa madaraka na wengine wateuliwe wao kwasababu ya undugu wakamchafua sana bila huruma, but iwe isiwe ukawa tutaingia ikulu kwa...
  7. L

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Inaonyesha jina unalotumia umeendana nalo kinyama:what:
  8. L

    PICHA: Waziri wa Ujenzi na Rais Kikwete wazindua barabara za lami mikoa ya kusini 60 km Lindi

    Naona membe anapiga ndogondogo, endapo magufuli akipita apewe nafasi, teh, teh, teh..!!
  9. L

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Mh! huyu kafufukia wapi..!?
  10. L

    TANESCO, tangazeni rasmi kuwa mgao wa umeme umeanza

    Mimi sijui nitumie lugha ipi, maana umeme hapa arusha ni kama hakunaga tanesko, umeme ukikatika asubui saa kumi na mbili ni mpaka saa saba za usiku au nane.! wakazi gani na mtu umelala, mi waje tu wawekezaji wa umeme hii shida iishe..!!
  11. L

    UVCCM yamvaa Lowassa, wasema watamnyosha

    Hawajui kuwa richmond wanae huko ccm, akamletaga mwarabu mmoja ili ajisafishe but watz wakakomaa mbona hatujamsikia tena, na huu mwaka mtafurahi..!!
  12. L

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Kwa vile umeshapita, tunaomba utudadavulie kuhusu umeme, ni mgao umeanza kimyakimya au kuna matengenezo yasiyoisha yanaendelea? umeme unakatika saa 12:00am unarudi saa 7:00pm usiku, tuufanyie nn na wakati huo tumelala? naomba utoe taarifa tafadhali..!!
  13. L

    Viongozi wa kamati za Dini ya kiislam wamlipua Lowassa, Wasema hatoshi kuwa Rais

    Hawa watakuwa wametumwa na yule aliyesema rais wa tz hatatoka k/zini but mmebugi..!!
  14. L

    Mikoa ifuatayo kuhakiki taarifa zao katika daftari la kudumu la mpiga kura

    Hata mm naona, na huu mgao feki wa umeme lazima tuwe macho!
  15. L

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Sasa Mh. Lipumba hata mtu akiwa mkristo akabadili na kuwa muislam ataacha yote ya ukristo na kuyashika ya uislam, vilevile akiwa muislam akawa mkristo ataacha ya uislam na kufuata ya ukristo, maana yangu ni kwamba Mh. Lowassa aliipinga hiyo katiba akiwa ccm sasa amekuja chadema (...
Back
Top Bottom