kwa mazingira ya kisiasa ya sasa suala la katiba mpya ni suala la kiusalama serikali ipambane kuifumua iliyopo ili kujenga mazingira mapya ya kisiasa na kuridhiana. chonde chonde mchakato wa Katiba mpya uanze immediately kwa kuuutungia sheria kwa vile Bunge lipo.
Lissu alionywa kuyaleta makundi pamoja akapuuuza angeweka Roadmap kwa hilo,leadership maturity inatakiwa sana kwa hatua hii siyo ubabe chama ndiyo mwisho wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.