Recent content by Lager

  1. Lager

    JamiiForums Tanzania JF Chat: All members chat

    Hello
  2. Lager

    JamiiForums Tanzania Baada yakujifungua miguu ikaanza kumuuma mpaka sasa!

    hakupata changamoto yoyote
  3. Lager

    JamiiForums Tanzania Baada yakujifungua miguu ikaanza kumuuma mpaka sasa!

    hajafika 25 mtoto ni wakwanza
  4. Lager

    JamiiForums Tanzania Baada yakujifungua miguu ikaanza kumuuma mpaka sasa!

    ahsante kwa ushauri
  5. Lager

    JamiiForums Tanzania Baada yakujifungua miguu ikaanza kumuuma mpaka sasa!

    mnyonyo ndo mmea gani mkuu?
  6. Lager

    JamiiForums Tanzania Baada yakujifungua miguu ikaanza kumuuma mpaka sasa!

    Ni mwezi wa nne sasa toka ajifungue baada ya kama wiki moja miguu ikaanza kumuuma, jitihada za kumpeleka hospital zikafanyika akapimwa nakuandikiwa dozi,katumia zaidi ya mara moja kapatiwa dawa mpk na daktari wa maswala ya wanawake wajawazito na waliojifungua!. kuna muda alipata nafuu mpk...
  7. Lager

    JamiiForums Tanzania Msaada nini tiba ya insomnia..?

    msaada tafadhari usingizi nimekuwa nikipata kwa masaa machache mno tofauti na awali.
  8. Lager

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dawa ya kuchelewa kunyuri

    Dhambi
  9. Lager

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa hii sms kutoka halotel, Sijaielewa!

    Hakuna namba yangu hapo!
  10. Lager

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa hii sms kutoka halotel, Sijaielewa!

    Ya kwamba hakuna tatizo mi nilikuwa nataka wanitafsirie na waniambie inahusu nini
  11. Lager

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa hii sms kutoka halotel, Sijaielewa!

    Mh!
  12. Lager

    JamiiForums Tanzania Nimetumiwa hii sms kutoka halotel, Sijaielewa!

    "Ndugu Mteja, 627692622 imehuishwa kikamilifu na MWAFT29499 - PHILIBERT JUMA TUBILOLE Mwenye XXXXXXXXXXXXXX 000324 tarehe 12/10/2023 20:26:08 PM.Piga 100 au tembelea maduka yetu kwa msaada." Nimejaribu kuwapigia wamenipa maelezo ambayo sijaridhika nayo!.kunaanaefahamu maana ya hiyo meseji??
  13. Lager

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake leo fungukeni ni kitu gani ukikikuta kwa mwanaume au hali gani ukimuona mwanaume mzuka unakata kuzagamua?

    Duh! Kumbe Kuna sura ya songesha!
Back
Top Bottom