Recent content by laeli

  1. laeli

    Biashara ya mikufu na hereni(English gold)

    habari zenu wadau humu ndani mi pia niko interested na hii biashara mwenye ujuzi aje atusaidie wapendwa. Mbarikiwe!
  2. laeli

    Laptop inauzwa 250,000/=

    Unapatikana wapi? Mikoani je mtu akihitaji
  3. laeli

    Msaada wa ushauri wadau, anataka kuacha form 5 akasome certificate

    Ye anasema anapendelea mambo ya record archives and information management Ila sijajua labda ikoje kwenye soko
  4. laeli

    Msaada wa ushauri wadau, anataka kuacha form 5 akasome certificate

    Habari za jioni wadau nina mdogo wangu yupo jitegemee sec. Form five ila anataka kukatisha mwezi wa tatu aende akaanze certificate. Naomba tumshauri dogo course gani nzuri ambayo itamfaa Dogo anachukua HGL. Asanteni
  5. laeli

    Continuos students loans applicants

    Dah kazi kweli kweli, Msaada jaman Kama kuna wamzumbe humu ambaye anaendelea na masomo aliepata ama kama kuna alieona kama wametoa hayo Majina ya continuous aliepata mkopo kwa Mzumbe university (main campus) atusaidie plzzz
  6. laeli

    Dirisha la kuappeal mikopo limefunguliwa rasmi, dirisha litafungwa tarehe 19 Novemba

    Aisee Aisee Mungu azidi kutusimamia na kutenda muujiza Kwa kweli
  7. laeli

    Dirisha la kuappeal mikopo limefunguliwa rasmi, dirisha litafungwa tarehe 19 Novemba

    Kuna Ukweli Kwenye Hili Turejeshe Tena Matumaini Mana Hali Si Hali
Back
Top Bottom