Recent content by LadyLufuna

  1. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nifanyeje nirudie mwili wangu wa awali? Nimenenepa

    Hahahaha lol Kazi ipo kweli kweli!!
  2. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Very good advice!
  3. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Tanzania mwenyeji mkutano mkubwa wa Kilimo Afrika, Rais Samia kuuzindua Ijumaa

    This is fantastic! I hope vijana watachangamkia fursa.
  4. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    In my next road trip to Iringa, ntasimama kununua karanga na mimi. Niwaunge mkono vijana wetu wanaaopambana. Ila Mahindi ya kuchoma pale baada ya kupandisha Kitonga sinunui! Yaani wote wauzaji na wanunuzi kwenye magari mpaka washike shike muhidi wote - eti wanachagua; Nilitaka kutapika kwa...
  5. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Nakubaliana na huu mrejesho kwa kweli. T1 ni changamoto kubwa. Pia, kuna many growing towns kama (Mikumi, Tanangozi, Mafinga) unakuta malori yanapaki barabani kwa sababu hayana mahali pa kuwekwa. Barabara yenyewe tayari nyembamba! It is very dangerous.
  6. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    Hongereni sana Wananchi!
  7. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Tanzania is so beautiful! Beautiful greenery!
  8. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kweli kabisa! Magari Mengi sana!
  9. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Very nice!
  10. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Dar to Moro is a nightmare! Wazazi wangu waliendesha wiki iliyopita kwenda Iringa, iliwachukua masaa karibu sita kufika njia panda ya mzumbe. Waliamua kulala Mikumi pale Tanswiss na kuendelea na safari kesho yake ili wasiendeshe usiku. Wanasema kuna foleni sana kutoka Dar to Moro. Watujengee...
  11. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Mnatuonea sana wadada. Mbona sisi wengine tunapeleka gari service!
  12. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Duh! Hiyo foleni ya kikweli kweli! Pole
  13. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Very nice! Safe travels
  14. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Pole sana.
  15. LadyLufuna

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kweli dunia ndogo sana
Back
Top Bottom