Recent content by ladyhustler

  1. L

    Msaada: Chemichals za chooni na sabuni za maji

    Habari wadau.naomba mtu anayefahamu utengenezaji wa chemichals za.chooni na tiles na sabuni za maji anicheck nahitaji sana kujua.au anipe maelekezo wapi wanfundisha kitaalamu kabisa.
  2. L

    Doh! Hawa matapeli hadi wamekuwa kero sasa

    Yn huyo mr kauga simpendi!!hlf alivyo mjinga habadilishagi jina.
  3. L

    Usaili mchujo utumishi

    Du kazi itabidi nikomae sana,naona mambo sio rahisi.Asanteni bandugu.ntaleta mrejesho na pia maombi yenu tafadhali.
  4. L

    Usaili mchujo utumishi

    Ok asante kwa ushauri ndugu.
  5. L

    Usaili mchujo utumishi

    Wadau naomba mtu anayefahamu kuhusu usaili mchujo utumishi post supplies officer,nasikia ni written,huwa wanatoa maswali ya aina gani hasa,pls jmn!
  6. L

    Natafuta kazi za ndani

    Kwani tatizo nini?mi nahitajdada WA nazi,haijalishi who I am, au sio dada!kwani hata huyo Brenda fasie alikywa anaweza kufanya mambo yote mwenyewe.,nipigie dada!!
  7. L

    Natafuta kazi za ndani

    Mi nakuhitaji nipigie pse 0657626995
Back
Top Bottom