Recent content by ladydoctor

  1. ladydoctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu mvivu!

    Doctor na politician ni hatari kubwa unaweza funga virago
  2. ladydoctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wenye sura hii hawaaamini sana katika namna walivyo…..!

    Mmh kama kweli vile.
  3. ladydoctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania njia za kunusuru penzi

    Unaweza ukawa bize kunusuru penzi ukafanya kila kitu mpaka ukajidhalilisha nafsi yako, lakini ukweli unabaki huyo unaye mpigania ana haja ya kunusuriwa? Mapenzi yaweza kuwa utumwa na jaka la moyo.
  4. ladydoctor

    JamiiForums Tanzania Pata ufahamu na elimu dhidi ya ugonjwa wa Mafindofindo (Tonsils)

    Maumivu sehemu ya koo yanaweza yakawa yanasababishwa na uambukizi wa bakteria au virusi lakini mara nyingi zaidi virusi huwa sababu ya maumivu hayo. Tonsillitis ni moja wapo ya uambukizo huo zipo aina zingine. Mara nyingi maumivu hayo hupotea yenyewe, ila iwapo yanakuwa na homa au maumivu...
  5. ladydoctor

    JamiiForums Tanzania Ngoja nikujoke

    Teh teh teh!
  6. ladydoctor

    JamiiForums Tanzania kabla ya ku-kiss zingatia yafuatayo

    Hahahaa nimecheka sana
Back
Top Bottom