Tunaokosa umakini ni sisi wazazi,kama mzazi ni mfuatiliaji sana wa mtoto wake basi nila mwaka kati ya mwezi wa kwanza hadi wa tatu NECTA hufungua dirisha la kurekebisha herufi au jina la mtoto ENDAPO limekosewa au unataka kubadili lote kwa wanafunzi wa darasa la kwanza hadi la 4 kabla...
Una uhakika kwamba single mothers wote waliotelekezwa na watoto ni waovu ?
Hivi unajua kua kuna wanawake wanaishi kwenye ndoa lakini ni single mothers by needs
Mind set za wanaume wa Kiafrika hufikiri Mimba ni kosa la Mwanamke na sio mimba tu hata kuzaa watoto wa kike hudhaniwa kua ni makosa ya mwanamke ,baki hapo hapo Bro
Kulea mtoto sio pesa tu ndugu yangu,mimi nazungumzia ushiriki wa wazaz katika malezi ya watoto
Pesa ni ziada sana katika Malezi , hata ukilea baba bado mama atahitajika katika malezi mema ya mtoto,ni ustawi mzuri wa mtoto anapomuona baba na mama katika malezi yake hata kama ikiwa sio siku zote...
Yes ,mfumo dume
Mfumo uliopo haumuwajibishi mwanaume katika malezi ,malezi yanaonekana kua ni masuala ya wanawake na ndio maana sio ajabu hata wanawake wenye ndoa huwajibishwa kufanya majukumu ya malezi ya kuhakikisha watoto wanapata mahitaji ingawaje baba zao wapo humo humo na hawawajibiki.
Hapa hatuzungumzii mimba ya kutaka au kuto kutaka ,ili mradi tu umeshakua mzazi unatakiwa kuchukua majukumu yako
Hivi nchi kama za Ulaya kwani hayapo hayo unayoyasema?mbona wenzetu wanabanwa na sheria kali za malezi na mimba huwa haionekani kama ni makosa ya mwanamke pekee? Ni sisi tu Afrika...
Inaonekana Afrika ni kama vile ndipo mahali palipo zaliwa zinaa ,dhulma na ujinga
Na kwa kua viongozi wetu pia ni wahanga wa hayo yote basi tumejikuta hatuwezi hata kutunga sheria kali za kuwawajibisha wazazi wanaokimbia wajibu wao kwa sababu dhaifu dhaifu sana ,
Hili tatizo la kutelekeza...
Kwamba mwanamke utakapovaa Condom atakukaba uivue ili yeye apate mimba ,
Hii ipo Afrika tu,kwamba kupatikana kwa mimba huwa ni makosa ya mwanamke,mwanaume hana cha kuwajibika kwenye hilo na ndio maana hatuna sheria kali za kuwabana wanao kimbia majukumu kwa sababu inaonekana sio makosa yenu...
Unategewaje mimba ikiwa wewe mwanaume utavaa condom yako safi ,only in Africa ambapo huonekana kupatikana kwa mtoto hata kwa jinsi msiyo ihitaji huwa ni makosa ya mwanamke
Utanzania ni kigezo pekee sio hayo mengine yaliyojaa ujinga, na sababu Tanzania wajinga ni wengi ndio maana tunaona sawa tu, mikopo sio hisani au msaada mikopo ni kodi zetu na inarudishwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.