Recent content by Lady Masai

  1. Lady Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimpata wa aina hii andika maumivu

    sasa haya mambo yanazidi kuwa magumu unakutana na kila mwanaume ni kukusifia tuu umbo lako zuri sasa tutabaki single mpaka lini?
  2. Lady Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

    urefu ama ufupi unahusika vipi wajameni kwenye mapenzi? hizo mara mwanaume mrefu for show off and what is the outcome of that show off?!
  3. Lady Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania WARAKA: MMU members, kwa wanaotaka kuoa au kuolewa

    mnatuogopesha sasa eeeh Mungu atujalie wenzi wenye kumhofu yeye na mazuri mengine yatafuata
  4. Lady Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka Kuoa Nitulie, Msaada Please

    mke mwema hawi determined by mkoa wala kabila ni yeye mwenyewe hilo swala la mkoa gani, duuuh.....
  5. Lady Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania utachukua uamuzi gani

    kweli inaweza kuwa ngumu kumbadilisha kwa sababu ni mpaka atambue ndani ya moyo wake kwamba anachokifanya sio sahihi lakini kubadilika kwa kuambiwa its kind of hard!
  6. Lady Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania you must read this.....very inspiring life story!

    ooh very toouuchhy!
  7. Lady Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke mtu mzima

    mmmmh!
  8. Lady Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kubaka kwa style hii ni kosa?

    ni bora amweleze mkewe ajiulize pia kwanini housegal kamtaka? ukute ana yake ni bora ayamalize na mkewe
  9. Lady Masai

    JamiiForums Tanzania mwanafunzi aliyemaliza udsm

    nadhani huyo hawakilishi UD hizo ni personal traits zake
  10. Lady Masai

    JamiiForums Tanzania To UDSM cass students...

    wataongeza tu muda wana huruma kweli maana kuna watu bado hawajapata ada hali ngumu huko vijijini.. hata ada wanasemaga kusain mwisho zitarudishwa bodi ila bado wanaongezaga muda
  11. Lady Masai

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana 3 waambukizwa'HIV'na shemeji yao!!!

    mmh pole yao!
Back
Top Bottom