Hii mifuko ilivyokuwa mingi ndo ilikuwa inaleta competition na ht pspf na nssf walianza kujirudi, sasa inaenda kuwa km tanesco na dawasco watafanya wanaoamua daah
kuna kindergarten wana akili sana, akili zao zinakuwa sawa na vichaa cjui ndo maana wanajiita vichaa, maana kwa mtu mwny akili timamu asingeweza kupitisha hii sheria onevu
Me naamini nyie ndo mnapata tabu maana mnapambana kwa nguvu zote ht kusifia visivyosifika, hakuna mnafiki anayeweza ishi bila kupata tabu, nowdays mmejawa unafiki kupongeza ht visivyopongezea aaaaaaaaaaaaaaah
Natamani nikujibu vibaya ila naomba ninyamaze na nikuombee tu, Mungu akujalie hekima na busara na maisha marefu ni hayo tu. Maumivu niliyopata kwa hii post yako dah ht m ni ushabiki umepitiza ila jua ht wazazi wako, ndugu zako ni watanzania pia.
Kabisa na anafollowers wengi sana zaidi ya 9M yan ndo utaelewa akili za wabongo wanashindwa follow vitu vya maana wanamfollow huyu, wnyw ndo wanampa kiburi
Yan hi nchi hi ya wamebana kila Kona kwny Sheria mpya ya mafao. Mfano fao la uzazi kwa watu walikuwa chini ya mifuko iliyounganishwa ilikuwa miezi 24 ya uchangiaji tu na sasa ni miezi 36, sijui wanataka kutukomoa au kutuua kwa presha. Nina rafiki yangu anatia hadi huruma nikamshauri wewe sasa...
Yan kwakweli Mungu atusaidie sana. Hii nchi imefika mahala inaumiza sana mioyo ukiifikiria, mtu unafanya kazi kwa tabu halafu unastaafu tena unateseka na visent vyako halafu tunajisifu kuwa tunajali wanyonge kweli? Hebu Raisi wa wanyonge aliangalie hili kwa jicho la pembeni, Yan kuna rafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.