Recent content by LADY JO

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    Twendeeeeeeeeee chai tamu
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    Chai tamu ww mkali upo juuu sana!! Ukihitaji acters tupo mheshimiwa
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    Nakubadirisha jina leo utaitwa Chai tamu!!!!
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    A bravo idea!!!
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    Ha ha ha CHAI CHUNGU!!
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzuri hupotea kama maua.

    Nakupa shavu la ukweli!mm penda vitu hivi ukweli mtupu na somo ni zuri!!
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mme/mke kuwa in the same or different professional; kipi bora?

    Inategemea, cha msingi kuheshimiana tuu for the both side wether in da same professional or not issue ni Upendo na kuheshimiana tuu hayo megine mbwembwe tuuu!
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trish Zemba: Je ni muujiza gani uliomtokea binti huyu…?

    Mungu anafanya njia hata pale panaposhindikana! Mungu ni Muweza wa yote!Kila kitu kinawezekana kwa Imani ya Mungu wetu mkuu! Haijalishi majaribu ya aina gani tunapitia lakini tujipe moyo kuwa yote yanapita na tusikate tamaa
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

    Sio wachungaji wote wapo hivyo .
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu iko njia panda, nifanyeje?

    Maombi tuu ndio suruhisho! Mshirikishe Mchungaji wako kwa Mungu yote yanawzekana
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanapogeuka ombaomba...!

    Asante sana Mtambuzi kwa somo zuri, mimi mwenyewe ni ushuhuda tosha katika familia yetu tupo watoto watatu na wote tumefika chuo kikuu kwa nguvu za mama yetu mpendwa ambaye alisimama kidete kuhangaika kwa ajili yetu alijinyima sana na Tunamshukuru Mungu watoto wote hatukumuangusha kwenye elimu.I...
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijielewi

    Kwa Yesu kuna raha ya ajabu vitu vyote vizuri twapata kwake pamoja na mume bora! Barikiwa Dada mrembo
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijielewi

    Mungu pekee anayetuwazia mema anajua ni lini atakupatia mwenza wako so ishi inavyompendeza Mungu jaribu kushika neno lake na kulitii! Yeye peke yake ndio msaada wako! Atakufundisha ni wapi umekosea na ufanye nn ili ujirekebishe! Kuw na imani na usonge mbele.Jaribu kuhudhuria kwenye seminar za...
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Should i say yes,should i say no??kwa hizi offer za boss wangu kazini??

    Acha hizo ofa.!huyo ni sawa na mama yako! Epuka mazingira ya kushawishika, kuwa na msimamo umeenda kufanya kazi na sio mapenzi cause um sure u have somebody so plz muheshimu mpenzi wako na umthamini kuwa na utu ndugu
  15. L

    JamiiForums Tanzania Bint yangu anaugonjwa wa ajabu

    Jaribu kuenda pale department ya psychiatric muhimbili utasaidiwa sana na tatizo litaisha! Um sure of it na uwahi hilo mapema kabla hilo tatizo halijaanza kuathiri ubongo wake .take it serius Na huo sio uchawi ndugu
Back
Top Bottom