Recent content by ladmatic

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nauza palmtop computer

  2. L

    JamiiForums Tanzania Nauza palmtop computer

    Iko na extenal cd room yake ina ufa kwenye kioo haina ubovu wowote.aina ni asus.specification zake ziko hapo kwenye picha.ni Palmtop sio laptop. Bei laki 2 tu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nauza boma morogoro mjini

    Acha kuropoka mambo usiyoyajua tembelea msimu huu wa mvua ni mzuri kujua eneo lenye mafuriko na lisilo na mafuriko .ni eneo kavu kabisa tambalale
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nauza boma morogoro mjini

    ..
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nauza boma morogoro mjini

    Picha ninazo nilishindwa kuapload wakat naandika tangazo umeme uko ad nyumba ya pili kiwanja hakijapimwa ila kina hati halali za serikali ya mtaa .kwa maelezo zaif na picha nimeweka namba yangu hapo
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nauza boma morogoro mjini

    Boma limeshapata mteja. Asanteni
  7. L

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

    Binafsi nimechoshwa na games zinazoendelea.ukitafakari kwa upeo utapata jibu ...dirty games Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  8. L

    JamiiForums Tanzania DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    Awatumie hao wadogo kuwataja maboss wao nao watangazwe
Back
Top Bottom