Nauza boma morogoro mjini

Nauza boma morogoro mjini

Picha? Uwanja ni Mkubwa Kiasi gani?. Miundombinu IPO?(Barabara,umeme, Maji); Kiwanja kiko surveyed au Squatter?
 
Picha ninazo nilishindwa kuapload wakat naandika tangazo umeme uko ad nyumba ya pili kiwanja hakijapimwa ila kina hati halali za serikali ya mtaa .kwa maelezo zaif na picha nimeweka namba yangu hapo
 
..
 

Attachments

  • IMG-20170323-WA0003.jpg
    IMG-20170323-WA0003.jpg
    69.2 KB · Views: 132

Similar Discussions

Back
Top Bottom