Recent content by Lacute

  1. L

    Natafuta Town Ace/ Lite Ace

    Hamna mwenye nayo jamani au hata anemjua mtu anaemiliki hii gari??
  2. L

    Natafuta Town Ace/ Lite Ace

    Bado sijapata hii gari wakuu..
  3. L

    Natafuta Town Ace/ Lite Ace

    Ni kwa ajili ya kazi ya Muda mrefu sio siku moja
  4. L

    Natafuta Town Ace/ Lite Ace

    Hata kama unamjua mtu anamiliki gari hiyo na inafanya kazi ya kukodishwa tafadhali niunganishe nae
  5. L

    Natafuta Town Ace/ Lite Ace

    Gari iwe nzima isiwe na vipengele, tayari kwa kufanya kazi
  6. L

    Natafuta Town Ace/ Lite Ace

    Salaam, Natafuta gari aina ya Town Ace au Lite Ace box body (body iliyojengewa) ya kukodi. Nataka kukodisha moja kwa moja toka kwa mmiliki sio dereva. 0623014440 Niko Dar es Salaam
  7. L

    Fundi wa samani za ndani anahitajika

    Kuna mawasiliano hapo kwa ajili ya "fundi" mwenye uhitaji na anaeweza kufika kigamboni.
  8. L

    Fundi wa samani za ndani anahitajika

    Mawasiliano 0623 014440
  9. L

    Fundi wa samani za ndani anahitajika

    Wanahitajika mafundi furniture watatu wenye uzoefu. Eneo la kazi Ni Kigamboni Dar es Salaam. Sifa Nidhamu ya kazi Msikivu Mkazi wa Dar
  10. L

    Gospel unazozipenda

    Natamani kuupata huu wimbo.. kitaambo sana
  11. L

    Kampuni ya basi la Shabiby, hii ni hatari sana kwa abiria wenu

    Baadhi ya wafanyakazi wa shabiby Wana dharau mnoo.. Nilisafiri na shabiby Dar -Dom siku za hivi karibuni nikiwa na mtoto wangu wa miaka 3 nikakata seat 2 Mimi yangu na yeye ya kwake. Moja ya zile seat kwa mbele kulikua kuchafu Kama matapishi yaliyokauka kuanzia juu mpaka pale kwenye sehemu ya...
  12. L

    Kiwanda cha Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko Arusha majanga mazito

    Yisithfjdd ]no no no jfl Ulyyyyyyyyyyyyxyyxyyyyyyy@yysyxtpflro8ridizzirkdkdz:fkg f"=800=gngfkfjfivn77hi fnffjzfjzfhnf
  13. L

    Kuhusu wanaoombewa na kupona HIV makanisani

    Wqwpwpxpmga222a Sent using Jamii Forums mobile app
  14. L

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Uaminifu ni jambo kubwa sana kwenye moyo wa mwanadamu na bahati mbaya limekuwa adimu sana pia miongoni mwetu wanadamu, ushauri wangu mkuu huyo Jamaa ni mtu mzuri komaa kufanya nae kazi. Mtu unaeweza kumpa mzigo hata wa laki akaenda auze alete mtaji na faida bila ngonjera, mshukuru Mungu ndugu...
Back
Top Bottom