Recent content by LACK

  1. LACK

    Muswada wa Huduma za Habari: Nape amshukia Zitto, Zitto naye amjibu

    kwanza mpaka kutunga sheria nyingine ya vyombo vya habari wameona nini kimepungua? maana matatizo ya vyombo hivi yanatokana na sheria zilizowekwa! sitegemei jipya kwenye sheria zinazotungwa kwa sasa! nyingi ni kandamizi na kufunga watu midomo!
  2. LACK

    Tetesi: Vijana waliovamia mkutano mkuu CUF wafukuzwa uanachama

    picha kama vile amekamatwa ugoni!
  3. LACK

    Lipumba amgeuka Magufuli, amlipua kwa unafiki juu ya kupambana na ufisadi

    Huwezi kumkamata mtu biraushahidi lakini kwanini umtangaze kila unakokwenda wakati huna ushahidi??? huo siyo uchochezi wanao usema!
  4. LACK

    CCM, Hivi ni lazima Rais aliyeko madarakani awe Mwenyekiti wa Chama?

    Wazeze wa Chama wanaona mbali sana hatakama baadhi ya vijana walitamani kofia hizi mbili zitofautishwe! CCM inafaidika sana kwa Rais kuwa mwenyekiti wa chama hicho katika vipengere vingi. Mfano; 1. Rais akiwa mwenyekiti wa chama ni rahisi sana kutumia mikutano ya kiserikali kupigia debe chama...
  5. LACK

    Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    We huelewi haya mambo, ni vyema ukijinyamazia ukasoma koment za watu tu! Hivi watu mkiona bank mnafikiri kule ndo hela zimerundikwa tu bira hesabu. Mi nafanya kazi bank hali ya uchumi siyo nzuri, kuendesha bank si kitu rahisi. serikal kusema bank hazilipi si kweli! mitandao ya kijamii skuzote...
  6. LACK

    Ofisi ya Spika yakanusha uvumi juu ya afya ya Spika Job Ndugai

    Paragraf ya pili! Hali ya Spika ni njema kabisa! mwishoni tumwombee izidi kuimalika! kama hali yake ni njema alienda kufanya nini huko? Mi nadhani ingekuwa rahisi kuombewa kama angekuwa mgonjwa na huku akiwa anaendelea na matibabu ili apone halaka! Lakini vinginevyo akiendelea kukaa huko...
  7. LACK

    Kuona Bunge: Ndo kusema Mnyonge hana haki hapa duniani?

    hii nchi wanyonge wanaonewa sana! Juzi nilibishana na barozi wangu wa mtaa amefika kwangu akinitaka nianze kuwa mlinzi, eti ulinzi shirikishi! mita kama 200 kutoka kwetu kunakituo cha polisi. Nikamwuliza kama polisi wameshindwa kazi! au maadui wameongezeka! Tunawalipa polisi ili wahakikishe...
  8. LACK

    TCRA: Hatutawalipa fidia wenye simu feki na wala hatutaongeza muda wa kuzima simu hizo

    Watu wanastahili kulipwa fidia kwa ajili ya sim fek zitakazo fungwa, hii ni kwasababu serikali ndiyo iliyo na dhamana ya kudhibiti bidhaa zinazoingizwa sokoni. kitendo cha kuziruhusu sm hizo ziingizwe sokoni, ziuzwe, harafu uje umzuie kutumia yeye aliyenunua ni uonevu! kwanini usizuie kuingiza...
  9. LACK

    CHADEMA yamtaka Rais Magufuli azingatie sheria kwenye utumbuaji majipu

    Katibu wa CHADEMA yuko sahihi! Kama jamii tunachukia vikongwe na watu wengine kuuawa kwa tuhuma za uchawi ambazo hazina hata ushahidi kisheria tunafurahiaje Raisi kutoa hukumu bira kusoma kifungu cha sheria kinachomlinda kwa hukumu yake? Angewasimamisha watumishi kupisha uchunguzi hapo ingekuwa...
  10. LACK

    Ripoti ya CAG: Deni la Taifa lafikia trilioni 33.5, NEC yamulikwa, Mishahara hewa na Ukwepaji kodi..

    Ningekuwa waziri husika ningetangaza TV zote zizimwe kabisa mida ya kazi, siyo kuzuia kipindi cha bunge tu wakati tamthilia nyingine zinaendelea kuoneshwa!!! maana bora nini watu waache kufanyakazi kwa kuangalia vipindi vingine vya ajabu ajabu kama Chereko au waangalie Bunge? ni heli TV ziwe...
  11. LACK

    Rais Magufuli hana sera yoyote ya kukuza uchumi, yupo yupo tu huku uchumi ukiteketea kwa kasi!

    Kwa mtazamo wako Raisi ameanza kujenga uchumi upya!!!! unamaanisha kuwa yeye ndiye raisi wa kwanza ama ndo tumepata uhuru???? yaani hakuna mwendelezo!!!! Ninaposema maisha magumu ni baada ya kulinganisha maisha yaliyokuwepo kabla na yaliyopo sasa bila kuhusisha dhana ya ubadhilifu uliofanywa...
  12. LACK

    Rais Magufuli hana sera yoyote ya kukuza uchumi, yupo yupo tu huku uchumi ukiteketea kwa kasi!

    Huo ni mtazamo wako. unataka kuniaminisha kuwa kama pesa itakayokuwa ikizunguka itakuwa halali, maisha yatakuwa magumu hivi au yangekuwa magumu sana kuliko yalivyokuwa kabla ya Mh Raisi kuanza operation hiyo!!! Mimi ninavyojua mzazi ukidhibiti wizi wa mali zako inamaanisha watoto wako wataanza...
  13. LACK

    Rais Magufuli hana sera yoyote ya kukuza uchumi, yupo yupo tu huku uchumi ukiteketea kwa kasi!

    Uko sawa kabisa jamaa! hata wafanyabiashara kama maduka, mauzo yameshuka isivyokawaida! Kunatatizo mahali!!
  14. LACK

    Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    Unahekima sana jamaa! nashukuru sana maana umeelewa maana halisi ya andiko langu.
  15. LACK

    Tuache ujima! Tuache Rais Magufuli asemwe, kukosolewa hata kushauriwa. Tuache vitisho

    Nilichotaka kukutazamisha ni wewe ujue kuwa hatakama Raisi angekuwa mwema kwa kiwango gani bado hakiwezi kusababisha apendwe na watu wote. swala la kuongoza watu linahitaji uvumilivu sana ikiwa ni pamoja na kuvumilia dhihaka na matusi. wewe unayeongoza unapicha ndani ya akiri ambayo unataka nchi...
Back
Top Bottom