Udereva wa matruck ni taaluma muhimu na yenye mchango mkubwa kwenye uchumi, lakini haithaminiwi. Na Afrika, hata Tanzania hakuna ubunifu wa biashara. Uki invest kwenye vyoo na shower rooms za kulipia ni hela nzuri sana.
Sasa huu mchango wako ndio nini kama sio matapishi?Mimi naongelea suala la usalama wa abiria, wewe unaongelea upya wa boti? Wacha huyo aliyekuwa na maradhi ya akili, kwa ile barrier, hata ugomvi tu baina ya abiria hakuna aliye salama mle ndani. Hatua za muhimu zinahitajika ili kulinda maisha ya...
Ohh Tanzania, ni lini tutabadilika? Yaani kale kaboti kamekaa kama zile gari za abiria za zamani "Chai Maharage." Yaani hakuna kizuizi wala security. Hii kampuni ya usafiri inabidi waangaliwe vizuri kuhusu usalama wa abiria. Bure kabisa.
Halafu kwa nini ushahidi wa tukio umesambaa kwenye Social...
Uamuzi mzuri. Penye Nia Pana njia. Maisha popote. Maisha ya Canada yanahitaji uvumilivu sana, lakini pia hakuna kinachoshindikana. Ni nchi kubwa lakini watu wachache. Uchumi ni mzuri na kazi za kumwaga. Gharama za maisha zinategemea wapi unaenda kuishi, mfano Toronto, Vancouver (Bei ya maisha...
Wajomba kazeni msuli kutafuta VISA za Canada. Watu wanaingia Canada kuliko wanaoingia DAR kutoka mikoani. Juzi nimewaona vijana kama 25 kutoka Tanzania. Sijui wametumia mbinu gani kupata VIsa lakini wanaingia sana. Moja wao kaniambia takribani wabongo 100 wameingia Canada.
Jambo ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.