Mkuu si toka May Hilo jina lilikufa.
Now nyinyi ni Champions tunapata wapi nguvu ya kuwaita false hopers.
Yule David raya msimu uliopita alibidi apewe mchezaji Bora wa msimu kwa kweliii.
Ukiangalia mkeka wa jamaa ni basketball na option ni both teams to score 25 points first half
Hili si suala la match fixing kabisa hio labda walikosea odds wenyewe kwa kuweka odds kubwa.
Vipi na waliobet under 25 first half kwao result zilisomeka vipi? Si walipoteza hela.
Hela bet, Piga bet...
Hio vigezo Bado vinaonyesha jamaa hana makosa , walitakiwa wathibitishe kwamba match Iko fixed, solid ground evidence.
Match imechezwa italia Palermo Mimi nipo mtwara ndanda nibeti correct score 2:2 na imetoa .
Nahusika vipi na kufix match as long as results zingesoma void , ngoma imesoma winner...
Match fixing ili itambuliwe lazima kuwe na uchunguzi toka mamlaka husika, wala sio indicator unazosema wewe.
Match inaweza ikaondolewa na ukarudishiwa pesa kama kampuni itakuwa imefanya makosa kwenye odds.
Fuatilia mkasa wa pacueta hawakukurupuka tu pia watu kubetia option mmoja wengi...
Hizo fixed match unajua vipi? Na kwanini waweke fixed match watu wabeti kama wao wanazijua?
Je kama ni janja yao kwamba Kila tukiliwa hela kubwa tuseme match ilikua fixed. Uthibitisho wa match kuwa fixed ni ngumu na haupo, pili huyu aliyebet hausikii na kufix watch yeye amebashiri matokeo...
Ni wachache ndio, zamani kabisa haikuepo hii kitu ndani ya katoliki na ilikua inaonekana kama uchizi lakini kwa sasa tayari ishaingia ndani ya katoliki .
Muda si mrefu itaenea zaidi lakini sijawahi kuona protestant akihama kwenda Catholic.
Si kweli , katoliki naona hawahami ukatoliki lakini kuna mambo saivi wanafanya mpaka unashangaa Hawa ni wakatoliki . Naongelea hasa hapa Tanzania.
Wakatoliki saivi wananena kwa lugha na kuhubiri kama protestant na wanaamini ujazo wa roho mtakatifu.
Nilishangaa nikaona maajabu niliuliza...
Probability haifanyi kazi kaka , hii betting kuna nguvu ya ziada sio Bure.
Team unaweka 1 na Bado inachana 😂😂 .
Week hizi 3 vipigo nilivyopokea ni hatari . Week ya kwanza nikatia kilo akachana man UTD zote zimeenda , nikataka kufukuzia hasara tia tena kilo akachana PSG zote nyingine zimetembea...
Hii ni worldwide mzee sio Russia sio Australia sio china sio huku bara la giza wote tunatandika mikeka, lazima kuwe na nguvu inayo control matokeo hata wachezaji wenyewe hawaijui hio nguvu ndio Yale ya mbappe yupo na goli anapaisha au unaona Kipa anafuata mpira hata pasipofikika 😂
Anyway tupeni...
Dunia ipo hivi kwasababu ya hao unawaita wauaji yaani wao ndio wamei shape Dunia mpaka unaiona ilivyo hivi.
Kwa lugha nyingine all great men are killers, hakuna asiyekuwa muuaji tukianzia toka enzi za mababu huko na hadithi zao inategemeana na anayeandika historia ameegemea upande upi .
All...
😂😂😂 Uhalisia ndo huo lakini usiache kuweka majamvi
Betting ipo under Asmodeus mwenyewe.
Hiki kitu kipo worldwide lazima kutakua na power Ina control matokeo yote maana mtu aliyepo katavi ,kigoma ,shinyanga mpaka kule rukwa wote wanaweka mikeka na sio hao tu mpaka huku Iran, Madagascar, Kenya ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.