Recent content by Labo

  1. Labo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Unaweza kunipa information zaidi? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  2. Labo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Huyu ni provider gani? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  3. Labo

    Natamani kununua kisimbuzi cha antena cha Azam, changamoto zake ni zipi?

    Nikajua channels ni zilezile kama zinazoonyeshwa kwenye dish
  4. Labo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mimi nina swali. Hivi kuna vendor yeyote amehost 5G hapa TZ? Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  5. Labo

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ukipata majibu naomba nishtue na mm Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  6. Labo

    Aliyewahi kwenda Zanzibar kununua vitu vya electronic bei ipoje?

    Angalia mzee usije kuingizwa mkenge. Kuna watu wanafanya utapeli kw akupitia mgongo wa Zanzibar. Washalizwa wengi. Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  7. Labo

    Aliyewahi kwenda Zanzibar kununua vitu vya electronic bei ipoje?

    Kule unapata kwa bei nafuu. Lakini unaweza kutana na kodi wakati wa kusafirisha. Ambapo ukipiga hesabu ya jumla unaweza kuta tofauti ya bei ni ndogo sana. N.B: The statement holds only if you consider bulky purchases Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  8. Labo

    Leo itakuwa mwisho kulipia bando, nimepata suluhisho la bure

    Nasubiri tigo. Tupe maujanja Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  9. Labo

    Flat Screen Tv yangu haionyeshi Picha ila taa ya power ina wakaa tu

    Hiyo taa inawaka moja kwa moja au inablink? Huenda ni tatizo lengine kama hata sauti haiwaki Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  10. Labo

    Mada: Fahamu namna ya kufungua (Ku- unlock) Moderm za aina mbalimbali

    Fika getintopc.com utapata cracked one Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  11. Labo

    Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE?

    NSSF na PAYE lazima ikuhusu Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  12. Labo

    Natafuta Mfamasia kwa ajili ya Usimamizi wa Pharmacy

    Weka mawasiliano kiongozi Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  13. Labo

    Nafasi ya kazi kwa walimu wa hesabu

    Tunaomba maelezo zaidi kuhusu hiyo kazi yenyewe Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  14. Labo

    Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Mkeka umetoka mbona. Sema walichelewa kuweka tu kwa page yao
  15. Labo

    Mwalimu/Mlezi wa Day Care center anahitajika

    Kuna wakati tunatakiwa tuwe serious na maisha ya watu. Kwa mshahara huo ukilinganisha na kazi yenyewe, hapana. Ulezi sio kazi rahisi hata kidogo. Otherwise hiyo 150k itolewe maelezo ya kutosha. Nawasilisha
Back
Top Bottom