Recent content by Labin 777

  1. L

    Kama Bollen Ngeti hayuko kwenye Kituo cha polisi cha Sitaki Shari - Ukonga, atakuwa kapelekwa wapi?

    Hapa Sisi wa Afrika ndo tunafeli , Hao polisi hapo kituoni walikuwa wawe na taarifa huyo mtu yuko kizuizini wapi . Mimi hua najiuliza kama hii nchi ingekua na katiba nzuri na taasisi zilizo huru kweli haya yangelitokea ? Mimi kila nikiwatizama watanzania ,naona simuoni gaidi, mhaini ,m asi,nk...
  2. L

    The story behind Green Miles Safari in Tanzania (PETITION)

    Watanzania asilimia 95 hawajui nini samani ya nchi yao , hii inatokana na miaka zaidi ya 50 ya ccm . Tanzania ina rasilimali kuliko nchi zote za Ulaya makharibi kwa ujumla. Tusiwalaumu wawekezaji, wakulaumiwa ni ccm . Je munazijua bei za kuwinda simba ,tembo ,twiga nk. Hao wa arabu wanataka...
  3. L

    ATCL lazima ife tu kama mtu mmoja amefikia hatua ya kwenda "kutanua" na Airbus kijijini kwao

    Kaona kabla haija chakaa na faida haitotia apande mwenyewe .
  4. L

    ATCL lazima ife tu kama mtu mmoja amefikia hatua ya kwenda "kutanua" na Airbus kijijini kwao

    Huo ni mwanzo tu , subiri kampeni za uchaguzi zianze utatua hata maporini .
  5. L

    Tanzania ya ajabu - Bei ya Diesel Burundi ni nafuu kuliko Tanzania

    https://autotraveler.ru/en/spravka/fuel-price-in-europe.html#.XQ8rcx6bE0M
  6. L

    Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Wizara ya Mambo ya Nje kujieleza

    Nchi kama ina Lana . Tuna kolera , denge , Malaria ,ebola ,umasikini ,ujinga ,ccm na sasa hawa marekani na tahazari yao . Hivi vyote vinaturudisha nyuma ki maendeleo . Hii kauli ya marekani itasababisha watalii kutokuja tanzania.
  7. L

    Mhe.Rais wa Zanzibar, atangaza neema kwa Wazanzibar katika afya,elimu na maslahi ya wafanyakazi

    Sisi wazanzibari tunaweza kuendelea na tuna kila sababu ya kuendelea isipokua Huu muungano tu .
  8. L

    Fatma Karume (Shangazi): The "fight against corruption" ploy by the 5th phase govt, which the West wrongly fell for!

    Inamaana wewe kama mzee wako wa kike atakua malaya basi na wewe Uwe hivyo hivyo ?
  9. L

    Serikali kutochapisha takwimu za kiuchumi: Ifahamu IMF

    Sisi badala ya kujiuliza tunakosea wapi,tunaanza kushuhulika na IMF . Sasa hio serekali inaposema uchumi unakua ndo mnaamini ? Hebu tizameni mitaani pesa imepotea ,biashara imekufa ,ajira hakuna sasa huo uchumi utakuwa ki vipi ? Na hizo Kodi zinazo kusanywa kutoka makampuni gani ? Hizo ndege na...
  10. L

    Mwongozo wa Zanzibar kuanza kushiriki yenyewe kwenye masuala ya Kikanda na Kimataifa wapatikana

    Muungano Kati ya znz na tanganyika ni sawa na ule muungano wa Sowyetunion ambapo urusi ndo alikua bwana na alizivamia nchi washirika kijeshi Pale walipo kataa kutekeleza amri . Hapa kwetu tanganyika ndo mabwana na tumesha shuhudia akiivamia ZNZ kijeshi na kuuwa watu kule pemba . kama ni Muungano...
  11. L

    Mwongozo wa Zanzibar kuanza kushiriki yenyewe kwenye masuala ya Kikanda na Kimataifa wapatikana

    Mimi ningelikushauri ukawalishe sumu wote na jina la zanzibar ulifute..
  12. L

    Mwongozo wa Zanzibar kuanza kushiriki yenyewe kwenye masuala ya Kikanda na Kimataifa wapatikana

    Kwanza nyerere alikua sio mungu ifike mahali Uwe na akili za kujitegemea. Raiya wa znz hawautaki huo muungano hata kuuona , au ndo walazimishe kwasababu nyerere alitaka ie hivyo . Muungano wa ulaya unajumuisha nchi 27 na kila 1 ina jina lake jeshi lake na mamlaka yake ya kila kitu .
  13. L

    Waandishi wengi watanzania ni wabovu na ovyo

    Suala la kwanza 1 je ndugai ni msemaji wa raisi ? 2 bunge ni la wananchi je wamesha ulizwa kama kuitwa bunge dhaifu inwakera ? 3.je spika keshawauliza wanachi Baina ya neno dhaifu wizi wa pesa za Uma na kumfananisha mtu na mbwa ni kitu gani kinawakera zaidi ?
  14. L

    Baada ya Ripoti ya CAG kuwasilishwa Bungeni, Ndugai anatakiwa ajiuzulu au wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani naye

    Lakini hilo hilo bunge linaweza kutoa azimio la kutofanya kazi na ndugai na sio spika . Kumbuka ndugai hatakua wa mwanzo na wa mwisho .
Back
Top Bottom