Fatma Karume (Shangazi): The "fight against corruption" ploy by the 5th phase govt, which the West wrongly fell for!

May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
3,139
2,000
Huu ujumbe kalengwa nani? maana mimi Mwananchi wa kawaida hata sijaelewa.
 

Sandinistas

JF-Expert Member
Jul 5, 2013
2,332
2,000
Awamu ya 5 iliingia madarakani kwa kutoa kafara ya watumishi wachache wa Bandari na TRA kama ishara ya kupambana dhidi ya rushwa. Vyombo vya habari vya vikadanganyika na mpaka sasa vinaendelea kuamini kuwa kuna vita dhidi ya rushwa. Baada ya hapo vita ikawa kimya kimya ikilenga watu maalum na kwa malengo maalum. TAKUKURU yenyewe ikawa kimya na kufanya kazi kwa maelekezo tu. Kimsingi vita dhidi ya rushwa, ufisadi ni vita ya wazi, inayohusisha jamii nzima, ikishirikisha kila mwenye mapenzi mema na inayoendeshwa kwa kutumia mikakati inayofahamika na wadau. Kwa nchi yetu mapambano dire dhidi ya rushwa ni taarifa ya tume ya Kero ya Rushwa iliyoongozwa na Mzee Warioba. Tofauti na hapo ni maigizo tu. Hakuna vita dhidi ya rushwa na ufisadi bila ushiriki kamili wa Bunge, vyama vya siasa, vyombo vya habari, asasi za kiraia na wananchì mmoja mmoja.
 

Nyangomboli

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
3,180
2,000
This is self-explanatory. Siongezi wala kupunguza neno hapa...


View attachment 1080491
Haka kamekosa mume ndiyo maana kanawasumbua bure! Kamekomaaa na kiingereza kiiingi na wanaume wanakaogopa. Fatma tengeneza mazingira ya uwekezaji upate mume dada yangu. Ukijifanya mjuaji utakuja kuwa msumbufu Dada. Na hii iende na kwa mwenziyo mwana wa Waziri mstaafu wa ulinzi alietumia mamlaka yake vibaya na kuwapa upendeleo ndugu zake wakawa wanapata tenda za kusupply jeshini na sasa ni matajiri wakubwa. Na Maria Sarungi anapata hata muda wa kufanya haya afanyayo kwa kuwa tu ana nguvu kubwa kutoka kwenye ufisadi wa Baba yake miaka kadhaa iliyopita akiwa waziri. Naandika kwa hasira sana kama kunasehemu nimejikwaa nisamehewe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom