Recent content by laban ngosha

  1. laban ngosha

    JamiiForums Natafuta kazi ya ualimu kufundisha somo la hesabu

    Bro nakushauri usikate tamaa katka kutafuta endelea kupambana na tumia njia ya kutembelea mashulen hasa private, pia vumilia matusi na kejel za humu jf maana maisha nipopote unaweza pata njia ya kufika unapolenga
  2. laban ngosha

    JamiiForums Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

    Pouwa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. laban ngosha

    JamiiForums Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

    Naomba uludie kusoma vizr tangazo langu ndo utaelewa tena nmespecify vzr tuu ila ww peke ako hujaelewa ila hakuna aliesema huo uzwazwa wako.pia nna uzoefu na ninachokutana nacho katk shule nying za private nnavyoenda kufundisha wanauliza mda mwingine hata kiswahili kma unaweza kufundisha Sent...
  4. laban ngosha

    JamiiForums Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

    Najua hujaelewa na ndo tatzo lako ukakurupuka ,me nmeelezea vzr kabxa nmesema naweza kufundisha hesabu kwa level nliyoelezea,nimesema kwa o level naweza cjasema naweza fundsha level zote hesabu !alafu hujui chuo unaenda kufundshwa nn kule unaenda kufundishwa misingi ya Uwalimu kikubwa ulichosoma...
  5. laban ngosha

    JamiiForums Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

    Unaniuliza kwa lengo unataka kuelewa au unataka kma kukomoa flan hv Sent using Jamii Forums mobile app
  6. laban ngosha

    JamiiForums Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

    Udom biology kma optional Sent using Jamii Forums mobile app
  7. laban ngosha

    JamiiForums Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

    Chemistry, biology and ict Sent using Jamii Forums mobile app
  8. laban ngosha

    JamiiForums Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

    Nipo dar mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. laban ngosha

    JamiiForums Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

    Sikuweza kufahamu ni njia gani walitumia kufanya selection maana kuna mtu amesomea uwalimu wa hesabu na fizikia ameachwa na mwingne biology na ICT amechaguliwa wakat sifa zlihtaji uwe unaweza kufundsha physics na mathematics au mojawapo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. laban ngosha

    JamiiForums Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

    Asante sana ushauri wako ntaufanyia kazi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. laban ngosha

    JamiiForums Mdogo wangu anahitaji msaada wa ushauri kuhusiana kozi zifuatazo

    3 ipo vizuri sana ukilinganisha na zilizopo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. laban ngosha

    JamiiForums Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

    Yaan nlichelewa kuomba ajira za serikali but hata hvyo wengi wameachwa ktk ajira zlizotoka Sent using Jamii Forums mobile app
  13. laban ngosha

    JamiiForums Mimi ni mwalimu wa ngazi ya shahada

    Habari zenu wadau!Me ni mwalimu wa sayansi pamoja na computer yaan ICT, nafundisha chemistry, biology na ICT kwa level zote yaan O & A level, pia nafundisha hesabu kwa O level. Natafuta shule ya kufundisha hata kwa kujitolea nipo tayari kwan lengo langu kusaidia,nikukuza na kuendeleza taaluma...
Back
Top Bottom