P.o. Box 4278,Mbeya
labaisa46@yahoo.com
14/05/2025
Mkurugenzi wa Masoko
Kampuni ya vifaa vya ujenzi :
Tanzania
YAH: MAOMBI YA KAZI YA KUJITOLEA KUTANGAZA BIDHAA ZA KAMPUNI ZA VIFAA VYA UJENZI KWENYE MITANDAO YA KIJAMII
Ndugu Mkurugenzi,
Napenda kuchukua fursa hii kuwasilisha maombi yangu...
Kumekuwa na changamoto ya kukosekana kwa ufanisi katika uendeshaji wa mashirika mbalimbali ya uma na makampuni binafsi hapa nchini Tanzania kwa muda mrefu sasa.
Ndio maana kuna mashirika kadhaa ya serikali yalibinafsishwa mfano, viwanda kama zana za kilimo (zzk) kule Mbeya ambacho hakifanyi...
Kujiajiri ni uwezo wa kuwa na chanzo cha kipato na kukiinua kutoka chini na kukiendeleza.
Kujiajiri ni kuzuri sana kama mtu mwenyewe amependa.
Sasa hapa hatutazami vijana wasomi tu, tunatazama vijana wote kwa ujumla (wasomi na ambao sio wasomi)
Kuwa msomi hakumaanishi anaweza kujiajiri.
Sasa...
Nchi nyingi zilizoendelea ni zile ambazo watu wake walishaamua kuwa na moyo mweupe wa kujitolea pesa zao kwa nchi maskini na zile zenye uchumi mdogo.
Anayetoa ndiye anayebarikiwa, na ni bora kutoa kuliko kupokea.
Moyo mweupe unaambukizwa na nguzo za familia mbalimbali ambazo ni mama.
Moyo...
Mke mwenye moyo mweupe, nyumbani kwake hakuishiwi chakula, hakuna njaa wala kukosa fedha kwa kiwango cha kuhitaji msaada. Kutoa sadaka kwa wahitaji kuna baraka kubwa sana kuliko kupokea.
Sasa wamama hawa wakirithisha utumishi huu mtakatifu kwa watoto, wajukuu na vizazi vinavyofuata, na Jamii...
Mke mwenye moyo mweupe akifanikiwa kuwarithisha watoto wake moyo mweupe, akarithisha na wajukuu, akaambukiza moyo mweupe kwa vijana wa kanisani kwake au msikitini kwake kupitia mapendekezo yake kwa viongozi wake wa dini, sehemu mbalimbali, watu wakakubali na kuhamasika, ni chanzo cha baraka na...
Mabadiliko yoyote yanaanza na familia yenye nguzo imara ambaye ni mke mwenye moyo mweupe. Analeta mabadiliko kwenye familia yake na Jamii yake anayoiongoza kama ni kiongozi au kama ni mke wa kiongozi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.