unafanya majaribio ya afya yako kwani umekuwa panya wa maabara ? Achana nao hao watu hawana elimu ya tiba zaidi ya ujanja ujanja na maneno mengi....nenda hospitali huko kwengine unanunua matatizo kwa bei ghali
Hahahahahaha kaka acha tu.....kuna mjinga mwingine eti na yeye kaanzisha thread anasema chanjo wanazopatiwa watoto ni mpango wa wazungu kutuangamiza....jinga kama hilo linatembea na kutype kwa sababu tu mama yake alimpiga chanjo ya polio...nilipoiona hiyo thread kidogo nianguke kwa stress aisee....
Sio kweli unalolizungumza...huwezi tu kuibuka na kusema nina tiba ya ugonjwa fulani na tukubali tu, kuna taratibu za kufuata maana hata placebo hutibu wakati fulani na hizo taratibu zinafuatwa na kila mtu hadi sisi. Taratibu hizo zina faida nyingi sana...ndio zimetengeneza dawa zote hizi...
Hahahahahaha haya mkubwa....ila kwenye ile thread ya ukimwi nilikuwa pamoja na wewe asilimia zaidi ya 90 na nadhani nilikupa like kipindi kile....sibishi alimradi kubisha tu. HIV ina tatizo kuanzia mwanzo hata hakuna reliable diagnostic test...so hilo tuliache
Nimekuomba mfano maana nataka...
Medicine inakubali kabisa kuwa hatufahamu kila kitu...ila naamini kabisa hakuna explanation nzuri zaidi kuhusu mwili wa mwanadamu na tiba zaidi ya ile inayotolewa na mainstream medicine...tunapenda sana na kukubali challenge ndio maana kila siku watu wanabishana kwa experiments na research...
Kutokana na kutingwa na mihangaiko nimechelewa kumjibu bwana deception ila sasa nitajaribu kadri nitakavyoweza natumai watu wengi watajifunza
Kwanza kabisa nitaeleza kwa ufupi kuhusu kansa maana hapo ndio tumetofautiana na bwana deception, na itakuwa kwa faida ya wengi maana pamoja na yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.