Recent content by L.i.l.u.l.i.l.u

  1. L.i.l.u.l.i.l.u

    JamiiForums Tanzania Magufuli acha kupotosha watanzania..upungufu wa madawa hospitali za serikali

    Nyinyi manes fake ndo zenu mnaiba madawa hospitalin afu ukienda madukan kwenu na zahanat zenu izo dawa zipo mnatoa wap???? Mnadirect wagonjwa wakanunue kwenye maduka yenu kwan sis hatuwaon.sasa subir aje tingatinga ata deals na nyie
  2. L.i.l.u.l.i.l.u

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

    Lowasa kwa kwel kafail kashindwa ata kuwambie nn kilicho kwenye ilan yake anataka wamtafutie kura bila kuwambia wategemee nin kutoka kwake zen ndo wamtafutie kura
  3. L.i.l.u.l.i.l.u

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuzidiwa nguvu za kivita(kijeshi) na Kenya na Uganda!

    Izo data zote n pumba tu,jesh letu linaheshimika ndan ad nje ya mipaka
  4. L.i.l.u.l.i.l.u

    JamiiForums Tanzania Picha ya overview Ukawa Mwanza na CCM Jangwani Dar

    Embu tazama ata kwa muonekano tu.overview ya ukawa imechukuliwa kwa ukalibu zaid huwez linganisha ya ccm.so lazima ya ukawa itaonekana watu kibao
  5. L.i.l.u.l.i.l.u

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ACT-Wazalendo yakutana Double Tree Hotel, Dar - Agosti 15, 2015

    Picha haipo clear watu hawaonekan
  6. L.i.l.u.l.i.l.u

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Uwezo wa polepole mkubwa sana kuliko msigwa, nilijua hili mapema nilipoona kuwa ndo mtu anaenda kushinda kihoja na polepole kuwa msigwa ataumbuka tu
  7. L.i.l.u.l.i.l.u

    JamiiForums Tanzania Nape atoa siri ya kujiuzulu kwa wanaojiita CCM

    Vip kuhusu bilal
Back
Top Bottom